Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 7,982
- 27,272
😍😍Hapana mimi mzigo ningeuacha kwa kweli😀
Ila inaonyesha wewe Aaliyyah ni mwanamke mrembo,mzuri na msafi wa mwili na roho
Nikirejea kwa mkuu wa shule na huyo H wako kukupenda😀
Najiaminisha kuwa wewe ni mali safi na bando changa kabisa mkuu😀
Nakazia mkuu, ni mali safi hasa.!!