Nilivoachwa kikatili na mpenzi wangu wa kwanza

Utaaona na wewe utakavyokuja kudeal na watoto wako,hamna kitu inanimate kama nikifikiria mwanangu alivyo so special kwangu kuna mjinga mmoja atakuja kuuvunjavunja moyo wake...mapenzi haya
πŸ˜”πŸ˜”
Hii mateso ambayo hawa Pharaoh's sons wamenipea na wanangu watapitia..?? Eeh' Jehovah Shama nihurumie..!!πŸ™Œ
 
Yaani story imeishaje na steringi amekufa?(tunda halikuliwa).

Umeturudisha nyuma sana miaka ya balehe, upendo wa kipindi kile ni upendo wa dhati na wa kweli kutoka moyoni, umenikumbusha Na wangu.... a mother of two now, mkimya sana na nilimpenda aloo.
 
tchaaah'. .!!πŸ™ŒπŸ™Œ
Mimi nilikuwa nikifunga tu shule, nawasahau sura mpaka majina, tukifungua nikirudi darasani naanza kushangaa hivi na huyu tunasoma naye..?? Na wengine mpaka naanza uliza kwa mtu mwingine majina yao maana in a very serious note huwa sikumbuki kabisa..!!
 
Yan Huwa tunapenda kweli sio utani
 
Ulimkatili sana H kumnyima tunda...
 
Upuuz mtup itaendelea ya nyoko
 
Kuna page umechana
 
Hapo sasa alikuwa keshaonja ,keshajua hainaga makombo ,anaanza kujiona mjinga kwa nini hakukuonja..
 
Good!Bora ulilipa kisasi dogo...ila hujasema uliondoka na zawadi au uliziacha?angalau ulitia uchakavu wa Lodge,chakula,na hizo zawadi
 
Mkuu mm kwangu usingechomoa,ningekubaka tu hamna namna...yaan uingie machinjioni halafu utoke salama?
H mpole pia roho iliniuma kidogo ila nisingeweza kuendelea ni hemdanganya nilishamchukia tayari hakuwepo moyoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…