Nilivoachwa kikatili na mpenzi wangu wa kwanza

Mama H πŸ˜œπŸ˜œπŸ˜œπŸ˜…πŸ˜…πŸ‘πŸ»πŸ‘πŸ»
 
Hapo kuni namba ya simu, ivi why ukimoenda mtu namba unaikariri then mkiachana namba mdg mdg inaanz kupotea kichwani 🀣
 
Eeeh m mwenyewe sinywi pombe ila siwezi kumbuka ivo weeeeeee
Tonatofautiana vipawa my love hatuwez fanana mm siwez kuwa wewe Wala huwez kuwa mm

Kwakuwa wewe huwez hiki haimaniishi na mm siwez au mwingine hawezi
by nature naweza elezea tukio Kwa kuandika kuliko kuzungumza Kuna anayewaza kuzungumza kuliko kuandika

Naweza soma kitabu Cha kurasa 100 Kwa masaa machache sana kilamtu kuna alivo
Inaweza kuwa wewe huwez au ni Zaid πŸ™
 
Upo sahihi.

Mimi Kuna wanawake sikuwahi kulala nao lakini sina hisia nao Tena, hata ikitokea wakinipa sasa hivi nitakula kwa kulinda heshima tu na kupita kushoto
 
Ulikutana na mlamba midomo wa sinza ,yaani uingie lodge na hela nimelipa alafu eti uniambie habari za huna hisia na Mimi ? Haki basi utanilamba lamba tu ili niridhike nikiruhusu uende zako
Nikishaeleza sifa za H ni kweli ni tofaut na wengine ila sio mlamba lips
 
Upo sahihi.

Mimi Kuna wanawake sikuwahi kulala nao lakini sina hisia nao Tena, hata ikitokea wakinipa sasa hivi nitakula kwa kulinda heshima tu na kupita kushoto
Ndio uhalisia sikuwa nampenda Sana H kiukweli alivonitesa hisia zikakata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…