Nilivoachwa kikatili na mpenzi wangu wa kwanza

Nilivoachwa kikatili na mpenzi wangu wa kwanza

Aaliyyah

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2022
Posts
19,041
Reaction score
46,239
Hii wiki Niko very happy ngoja niwape kisa nilivyoachwa na mpenz wangu wa kwanza😃😃

Miaka mingi nyuma nilikuwa na rafikiyangu ambae ni jirani yetu pia alinizi kama miaka miwil umri, alikuwa anansoma shule ya boarding hivo tulikuwa tunaonana kipindi cha likizo.

Rafik yangu alikuwa ni wale watoto kwenye zile familia maarufu mtaani tumuite Irene
Siku moja tukiwa tunapiga story akanambia ana ujumbe kutoka Kwa H tumpe Hilo jina
nikamwambia anipe akaingia ndani akaja na barua 😃akasema Itabid nirudishe majibu kunamtu apewe aende nayo maana hayupo Kwa Sasa

Nikaichukua nikasema hebu nikaifungue nikiwa home bhana nafungua nakutana na ujumbe maridadi kweli kweli.

Barua ya mapenz iliyoshiba kweli kweli maneno matamu mwanzo Hadi mwisho nakupenda nying sana huku mwisho na dedication za kutosha nlisoma Ile barua huku natabasamu vibaya mno 😃😃

Kuhusu H
Ni mkaka fulani mpole sana ni binamu wa rafikiyangu hivo nilikuwa namuona maranyingi akija kutembea kwa shangazi yake huku mtaani kwetu.

Alikuwa anasoma shule moja ya kubwa ya seminary hapo mkoani babayake alisoma pamoja na mama yangu enzi hizo hivo namfahamu japo hatukuwa na ukaribu

Ile barua nilifurahia mno H alikuwa kijana smart sana,na hii ndo Ilikuwa mara ya kwanza kwangu kuvutiwa na mvulana nikamwambia akamwambie anipe muda nifikirie nitampa majibu wakat huo H alikuwa likizo Dar Kwa nduguzake wengine so barua alimpa rafikiyake wakiwa shule Ili inifikie Kwa urahisi na sikuwa natumia simu kipindi hiko.

Bas bhana feeling Kwa H zikaanza japo sikuwa naelewa Kwamba mapenzi ndio yalivo nikawa naona ni busara kuisoma Ile barua Kila mara Kwa kuirudia rudia😃😃😃

Baada ya wiki 2 nikaenda kwao na Irene Ile nafika sebuleni namkuta H kajaa tele nikaona aibu sana akanisalimia nikakaa kwenye kochi kiroho kinadunda sana nikaona hapa siwezi nikaaga nikaondoka muda huo H akanikata jicho la wizi wizi 😃

Wazazi wao hawakuwepo mda huo mara Irene akaniita niende kuongea na H

Akatoka nje nikamfuata tukakaa sehemu nyuma ya nyumba ya shangazi yake

Akauliza kuhusu jibu lake nikaanza kujizungusha zungusha nikakataa H alilalamika sana nikaona machozi yanaanza kumtoka 😭

Akabembeleza sana mwisho nikakubali wakat huo tumekaa mbali kidogo hivo hatukushikana hata mkono H akaaga akaondoka.

Safari ya mapenzi ikaanza
Kimbele mbele kikazidi 😃😃
Ilikuwa siku chache aondoke shule na Huwa akiwa shule hatumii simu mm pia sikuwa na simu kabisa akaja kuniaga akaondoka

Inaendelea sio ndefu
 
FB_IMG_17226979455543428.jpg
 
Hii wiki Niko very happy ngoja niwape kisa nilivoachwa na mpenz wangu wa kwanza😃😃
Miaka mingi nyuma nilikuwa na rafikiyangu ambae ni jirani yetu pia alinizi kama miaka miwil umri,alikuwa anansoma shule ya boarding hivo tulikuwa tunaonana kipindi Cha likizo
Rafik yangu alikuwa ni wale watoto kwenye zile familia maarufu mtaani tumuite Irene
Siku moja tukiwa tunapiga story akanambia ana ujumbe kutoka Kwa H tumpe Hilo jina
nikamwambia anipe akaingia ndani akaja na barua 😃akasema Itabid nirudishe majibu kunamtu apewe aende nayo maana hayupo Kwa Sasa

Nikaichukua nikasema hebu nikaifungue nikiwa home bhana nafungua nakutana na ujumbe maridadi kweli kweli
Barua ya mapenz iliyoshiba kweli kweli maneno matamu mwanzo Hadi mwisho nakupenda nying sana huku mwisho na dedication za kutosha nlisoma Ile barua huku natabasamu vibaya mno 😃😃
Kuhusu H
Ni mkaka flan mpole sana ni binamu wa rafikiyangu hivo nilikuwa namuona maranyingi akija kutembea Kwa shangaziyake huku mtaani kwetu,alikuwa anasoma shule moja ya kubwa ya seminary hapo mkoani babayake alisoma pamoja na mama yangu enzi hizo hivo namfahamu japo hatukuwa na ukaribu

Ile barua nilifurahia mno H alikuwa kijana smart sana,na hii ndo Ilikuwa mara ya kwanza kwangu kuvutiwa na mvulana nikamwambia akamwambie anipe muda nifikirie nitampa majibu wakat huo H alikuwa likizo Dar Kwa nduguzake wengine so barua alimpa rafikiyake wakiwa shule Ili inifikie Kwa urahisi na sikuwa natumia simu kipindi hiko
Bas bhana feeling Kwa H zikaanza japo sikuwa naelewa Kwamba mapenzi ndio yalivo nikawa naona ni busara kuisoma Ile barua Kila mara Kwa kuirudia rudia😃😃😃

Baada ya wiki 2 nikaenda kwao na Irene Ile nafika sebuleni namkuta H kajaa tele nikaona aibu sana akanisalimia nikakaa kwenye kochi kiroho kinadunda sana nikaona hapa siwezi nikaaga nikaondoka muda huo H akanikata jicho la wizi wizi 😃

Wazazi wao hawakuwepo mda huo mara Irene akaniita niende kuongea na H
Akatoka nje nikamfuata tukakaa sehemu nyuma ya nyumba ya shangazi yake

Akauliza kuhusu jibu lake nikaanza kujizungusha zungusha nikakataa H alilalamika sana nikaona machozi yanaanza kumtoka 😭
Akabembeleza sana mwisho nikakubali wakat huo tumekaa mbali kidogo hivo hatukushikana hata mkono H akaaga akaondoka
Safari ya mapenzi ikaanza
Kimbele mbele kikazidi 😃😃
Ilikuwa siku chache aondoke shule na Huwa akiwa shule hatumii simu mm pia sikuwa na simu kabisa akaja kuniaga akaondoka

Inaendelea sio ndefu
Kumekucha😁
 
Attachments

  • downloadfile-3.jpg
    downloadfile-3.jpg
    46.4 KB · Views: 17
BAADA YA H KUONDOKA

Penzi likianza nilikuwa sijui how mapenz yapoje bhana nikawa naona nafurahia tu kusoma barua hatukuongea Tena na H na Irene alirudi shule kuendelea na masomo

Baada ya mwezi mmoja nikapokea barua kutoka Kwa classment nilosoma nae primary alikuwa anasoma pamoja na H barua nzuri kuwa amenikumbuka na maneno mazuri mazuri mengi ya kunsifia nilivo mpole na msichana mzuri Sana hakika siku ikabarikiwa
H alikuwa na hati safi kiingereza kilichonyooka nafikiri mlosoma hizo shule za seminary mnaelewa nami nikaandika yangu chap nikampa kabla hajaondoka akaifikishe Kwa H huko shule nikimtamkia masomo mema

Kwakweli nilimuelewa H lakin sikuwa mtaalamu wa mahusiano hivo haikunipa shida sana kuhandle situation ila Kuna wakat rafikizangu walikuwa wanashangaa mbona namtaja H Kila muda 😃

Nikikutana na baba yake H njiani ni kujichekelea kumuona ba mkwe 😃 na babakake annaiita bintiyake sababu anamjua mamayngu na pia aliniona tangu nikiwa mdogo sana nazaliwa

Ikawa ndio habari akiona mtu anakuja kwani vijana wengi wa hiyo shule wnatoka hapo kijijini tunapoishi ni lazima wakija Wana barua yangu nami nawapa ya H mapenz yalinoga Yani ikawa namuongelea H muda wote natembea na zile barua kwenye begi hata nikiwa shule ninazo 😂😂😂😂
Nilikuwa nimechanganyikiwa nyie Hao H hajwah nishika hata mkono

Baada ya miez sita likizo ikakaribia shule za private hufunga wiki moja kabla yetu sisi wa shule za serikali
Nikasema hii Sasa ndo yenyewe babe anarudi nilifurahi kusikia wamefunga shule japo H sikumuona na wakat huo yupo kidato Cha nne hivo hupewa wiki 2 tu then wanarudi shule kuendelea n maandaliz ya mitihani
 
Hili kabila bhana😁😁😁😁juzi niko kwenye bus kwenda sehemu fulani,nimekaa na msukuma seat moja ghafla wakaanza kuongea kilugha na msukuma mwenzie aliyeseat ya 50 😳😳😳wakati huo tuko seat 20 huko aise Nilitamani nimzabue makonzi phaller yule maana alishanikwaza na mziki wake tangu tunaanza safari😌.

Hili kabila inabidi liwe kundi maalum shenzi kabisa
 
Kawaida Hata mimi mpenzi wangu wa kwanza ni Fetty mawenge yeye ndo alianza kuniambia ananipenda mi nilikua mgeni kwenye mapenzi nikamwambia anipe muda nimfikirie niliogopa kukubali harakaharaka ili asinione ni kijana muhuni
 
Back
Top Bottom