The-unknown
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 1,228
- 1,447
Hii ni imani yako tu,
Hivyo ni ngumu sana kueleweka kma unashawishi
Hivyo ni ngumu sana kueleweka kma unashawishi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji1787]Hio no 6&7 inaweza sababisha idadi ya wapigwa chanjo kuongezeka gafla.
Good promo
sasa ndio umeandika Nini? ishu sio kujua kilichomo kwenye chanjo tu ndio maana hao waliyotengeneza na kujua kilichomo hufanya majaribio kwanza na hapo ndio ndio wanaweza kujua ufanisi wake na usalama wake.Hebu tuambie namna chanjo ya polio, pertussis, Diphtheria, Tetanus, surua, na flu ambazo umeshachanjwa kabla hujafikisha umri wa mwaka mmoja zilivyotengenezwa na kilichomo kwenye chanjo hizo na madhara yake. Au unakariri kama kasuku tu.
Umeshakuwa zombie ha haMimi ni miongoni watu waliochanjwa chanjo ya COVID-19 Johnson And Johnson siku ya pili tu baada ya zoezi la kuchanja kuzinduliwa na Rais
Nilijisikia yafuatayo:
1. Nilichanjwa kwenye bega la kushoto, sehemu niliyochanjwa nijisikia maumivu ya sindano kwa siku kama 3 hivi
2. Baada ya kuchanjwa nilijisikia kama kichwa kizito kidogo kwa siku kama 3 hivi
3. Nilijisikia kutaka kupumzika nyumbani nisifanye kazi kwa siku kama tatu hivi
4. Sikutamani kufanya tendo la ndoa kwa siku kama 5 hivi
5. Baada ya wiki moja kupita nikarudi kwenye hali yangu ya kawaida na zaidi
6. Nilijisikia hamu zaidi ya kutaka kujamiiana baada ya wiki hivi
7. Nguvu za kiume ziliongezeka mara tatu zaidi
8. Nilitoa mbegu nyingi kuliko kawaida wakati wa kujamiiana
9. Nikajisikia mtu mwenye nguvu kuliko kabla ya chanjo.
10. Tangu nichanjwe sijawahi kupata kikohozi, mafua
11. Kama Koo likinikereketa ilikuwa lazima nimung'unye lozenges au nimeze antibiotics ili nipone lakini juzi koo linikereketa likatulia lenyewe bila kutumia dawa yoyote.
12. Umakini (concentration yangu na busara zangu nahisi kama vimeongezeka kuliko awali.
Nadhani chanjo Iko poa, unaweza kuja kujutia kama chanjo zitaisha bila wewe kuchanjwa. Maana kwenye foleni tulikuwa na watu raia wa Ulaya na Asia wanahitaji kuchanjwa.
Wewe mjuzi unaesema huchanji, povu na maelezo ya nini?sasa ndio umeandika Nini? ishu sio kujua kilichomo kwenye chanjo tu ndio maana hao waliyotengeneza na kujua kilichomo hufanya majaribio kwanza na hapo ndio ndio wanaweza kujua ufanisi wake na usalama wake.
Kwahiyo watengenezaji na WHO hawajui ufanisi wa hizi chanjo, kakojoe ulale.sasa ndio umeandika Nini? ishu sio kujua kilichomo kwenye chanjo tu ndio maana hao waliyotengeneza na kujua kilichomo hufanya majaribio kwanza na hapo ndio ndio wanaweza kujua ufanisi wake na usalama wake.
Hivi we dogo una uelewa kweli?Kwahiyo watengenezaji na WHO hawajui ufanisi wa hizi chanjo, kakojoe ulale.
nenda kasome report za kisayansi juu ya maswala ya chanjo na uwekezaji wakeIlichukua muda kwa sababu teknolojia ilikuwa haijakua. Usilinganishe. Pia urgency ni kubwa kwa huu UVIKO-19.
Wewe ni mtumiaji TU utasoma mangapi? Viko vyombo (WHO, UNPFA, CDC, NIMR, TBS, mkemia mkuu) vinasoma kwaajili yetu. Usome kuhusu Panadol, flagyl, praziquantel, aspirin, powercef, PPF, etc. Utakuwa mwehu lazima.nenda kasome report za kisayansi juu ya maswala ya chanjo na uwekezaji wake
Wewe hupendi? Hela na elimu huna hata ngono ushindwe? Aaah buana!!Hii mbinu ya kuwa chanjo ya covid 19 hii tulioletewa kuwa inaongeza nguvu za kiume hivi inamaanisha kuwa wabongo wengi wanapenda sana ngono! Au research zinaonesha wabongo wengi hawana nguvu za kiume? Au dawa zinazonunuliwa nyingi bongo ni za nguvu za kiume! Mana promo ya chanjo hii ya covid nashindwa kuielewa🙉
Mwenzio nimeishia kucheka baada ya kusoma hizi point 3 zinazofuatana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
7. Nguvu za kiume ziliongezeka mara tatu zaidi.
8. Nilitoa megu nyingi kuliko kawaida wakati wa kujamiana.
9. Nikajisikia mtu mwenye nguvu kuliko kabla ya chanjo.
😁😁 dah! Haya kijana.Wewe hupendi? Hela na elimu huna hata ngono ushindwe? Aaah buana!!
Huku mtaani kwangu kuna mzee amefariki kwa kuganda damu baada ya kuchanjwa na inaonesha hizi case zipo sana maana walivyompeleka hospitali nasikia waliuliza kama kachanjwa.Hiyo ya kuongezeka nguvu za kujamiiana nadhani ni kweli.
Hata mimi baadaya kuchanja sikupata matatizo yoyote lakini hamu ya kukula kitu ya binti wa mtu naona ipo juu zaidi ila najidhibiti kwani nafanyia kazi mbali na nyumbani. Lakini wife ameshanisema tayari kuwa nimekuwa kama anavosema yule mmama wa ,,tuwatuwa jikoni, bafuni, sebuleni ili mradi tuko peke yetu" [emoji3]
All in all nadhani vaccine hazina shida yoyote isipokuwa ni hayo mashaka yanayoletwa na wale wa imani kali.
Hawa wameenea dunia nzima hivyo kuuzima uvumi wao si jambo rahisi.
Kwa waliougua covid wanasema inatesa sana, hasa ukianza kukosa pumzi unakuwa unapitia hali fulani ambayo unaona kabisa kifo kimefika.
Kuna ambao wamefikia hizo stage wamesurvive na ambao ni kweli wamepoteza.
So zichangeni vizuri mbongo zenu na tafuteni habari kutoka vyanzo halisi ili ujielimishe na uamue kwa usahihi.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Hizo case zipo ila ni chache sana.Huku mtaani kwangu kuna mzee amefariki kwa kuganda damu baada ya kuchanjwa na inaonesha hizi case zipo sana maana walivyompeleka hospitali nasikia waliuliza kama kachanjwa.
Wakati wazungu wanataka watu wao wachanjwe dose ya tatu sisi hata hiyo moja hatuitaki. Hata Pope wa Vatican amechanja, kule Israel sasa wanaingia dose ya 3 kwa watu wao. Hivi Kuna watu wajanja kama waisrael? Hivi Kuna mkatholic Safi na muhimu kumshinda Pope?Hiyo ya kuongezeka nguvu za kujamiiana nadhani ni kweli.
Hata mimi baadaya kuchanja sikupata matatizo yoyote lakini hamu ya kukula kitu ya binti wa mtu naona ipo juu zaidi ila najidhibiti kwani nafanyia kazi mbali na nyumbani. Lakini wife ameshanisema tayari kuwa nimekuwa kama anavosema yule mmama wa ,,tuwatuwa jikoni, bafuni, sebuleni ili mradi tuko peke yetu" [emoji3]
All in all nadhani vaccine hazina shida yoyote isipokuwa ni hayo mashaka yanayoletwa na wale wa imani kali.
Hawa wameenea dunia nzima hivyo kuuzima uvumi wao si jambo rahisi.
Kwa waliougua covid wanasema inatesa sana, hasa ukianza kukosa pumzi unakuwa unapitia hali fulani ambayo unaona kabisa kifo kimefika.
Kuna ambao wamefikia hizo stage wamesurvive na ambao ni kweli wamepoteza.
So zichangeni vizuri mbongo zenu na tafuteni habari kutoka vyanzo halisi ili ujielimishe na uamue kwa usahihi.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app