#COVID19 Nilivyojisikia baada ya kuchanjwa chanjo ya COVID-19

Hii ni imani yako tu,
Hivyo ni ngumu sana kueleweka kma unashawishi
 
[emoji16][emoji16][emoji16] nguvu za nini zimeongezeka? Na busara [emoji2356]
 
Hebu tuambie namna chanjo ya polio, pertussis, Diphtheria, Tetanus, surua, na flu ambazo umeshachanjwa kabla hujafikisha umri wa mwaka mmoja zilivyotengenezwa na kilichomo kwenye chanjo hizo na madhara yake. Au unakariri kama kasuku tu.
sasa ndio umeandika Nini? ishu sio kujua kilichomo kwenye chanjo tu ndio maana hao waliyotengeneza na kujua kilichomo hufanya majaribio kwanza na hapo ndio ndio wanaweza kujua ufanisi wake na usalama wake.
 
Umeshakuwa zombie ha ha
 
sasa ndio umeandika Nini? ishu sio kujua kilichomo kwenye chanjo tu ndio maana hao waliyotengeneza na kujua kilichomo hufanya majaribio kwanza na hapo ndio ndio wanaweza kujua ufanisi wake na usalama wake.
Wewe mjuzi unaesema huchanji, povu na maelezo ya nini?
 
sasa ndio umeandika Nini? ishu sio kujua kilichomo kwenye chanjo tu ndio maana hao waliyotengeneza na kujua kilichomo hufanya majaribio kwanza na hapo ndio ndio wanaweza kujua ufanisi wake na usalama wake.
Kwahiyo watengenezaji na WHO hawajui ufanisi wa hizi chanjo, kakojoe ulale.
 
Hii mbinu ya kuwa chanjo ya covid 19 hii tulioletewa kuwa inaongeza nguvu za kiume hivi inamaanisha kuwa wabongo wengi wanapenda sana ngono! Au research zinaonesha wabongo wengi hawana nguvu za kiume? Au dawa zinazonunuliwa nyingi bongo ni za nguvu za kiume! Mana promo ya chanjo hii ya covid nashindwa kuielewa🙉
 
nenda kasome report za kisayansi juu ya maswala ya chanjo na uwekezaji wake
Wewe ni mtumiaji TU utasoma mangapi? Viko vyombo (WHO, UNPFA, CDC, NIMR, TBS, mkemia mkuu) vinasoma kwaajili yetu. Usome kuhusu Panadol, flagyl, praziquantel, aspirin, powercef, PPF, etc. Utakuwa mwehu lazima.
 
Nilichogunduwa wengi wa wapinga chanjo ni waoga wa sindano.

Hayo mambo ya sijuwi inamadhara,,mara haijathibitishwa,,,Mara chanjo so salama .

Zote ni sababu tu,kuogopa sindano..
 
Wewe hupendi? Hela na elimu huna hata ngono ushindwe? Aaah buana!!
 

Hii inaweza ikawa kweli si tulimsikia gwajilady kasema, yeye na hubby wake wali-test mitambo!!?[emoji1751]na kukuta wako fiti saana🥱[emoji16]
 
Hiyo ya kuongezeka nguvu za kujamiiana nadhani ni kweli.
Hata mimi baadaya kuchanja sikupata matatizo yoyote lakini hamu ya kukula kitu ya binti wa mtu naona ipo juu zaidi ila najidhibiti kwani nafanyia kazi mbali na nyumbani. Lakini wife ameshanisema tayari kuwa nimekuwa kama anavosema yule mmama wa ,,tuwatuwa jikoni, bafuni, sebuleni ili mradi tuko peke yetu" [emoji3]

All in all nadhani vaccine hazina shida yoyote isipokuwa ni hayo mashaka yanayoletwa na wale wa imani kali.
Hawa wameenea dunia nzima hivyo kuuzima uvumi wao si jambo rahisi.

Kwa waliougua covid wanasema inatesa sana, hasa ukianza kukosa pumzi unakuwa unapitia hali fulani ambayo unaona kabisa kifo kimefika.

Kuna ambao wamefikia hizo stage wamesurvive na ambao ni kweli wamepoteza.
So zichangeni vizuri mbongo zenu na tafuteni habari kutoka vyanzo halisi ili ujielimishe na uamue kwa usahihi.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Huku mtaani kwangu kuna mzee amefariki kwa kuganda damu baada ya kuchanjwa na inaonesha hizi case zipo sana maana walivyompeleka hospitali nasikia waliuliza kama kachanjwa.
 
Huku mtaani kwangu kuna mzee amefariki kwa kuganda damu baada ya kuchanjwa na inaonesha hizi case zipo sana maana walivyompeleka hospitali nasikia waliuliza kama kachanjwa.
Hizo case zipo ila ni chache sana.
Siku nachanja tulikuwa wengi kidogo.
Lakini baadhi hatukupata side effects ,baadhi walipata mumivu ya kichwa , mwili kuchoka na wengine walikuwa wanasema wanajisikia vibaya. Baada ya takriban siku tatu wote wakawa fit.

Sasa nadhani huyo mzee kwa umri wake na pengine alikuwa na magonjwa mengine akipata side effects strong ikiwemo hiyo damu kuganda anaweza ondoka.

Cha kuelewa ni kwamba side effects za madawa yoyote zinaweza ondoa uhai wa mtu, inategemea tu hiyo reaction imekuwa strong vipi na uwezo wa afya ya mhusika kuweza kuhimili.
RIP mzee.[emoji120]

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Wakati wazungu wanataka watu wao wachanjwe dose ya tatu sisi hata hiyo moja hatuitaki. Hata Pope wa Vatican amechanja, kule Israel sasa wanaingia dose ya 3 kwa watu wao. Hivi Kuna watu wajanja kama waisrael? Hivi Kuna mkatholic Safi na muhimu kumshinda Pope?

Kweli wajinga hawaishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…