#COVID19 Nilivyojisikia baada ya kuchanjwa chanjo ya COVID-19

Hatuchanji
 
1.Si lazima kupima kabla ya kuchanja.Hata chanjo za utotoni hatupimi kabla ya kuchanja.
2.Ukiwa na maambukizi subiri miezi 3 ndo uchanje.
3.Ukipata maambukizi unapata kinga ya muda mfupi sana.Chanjo inakupa kinga ya muda mrefu.
 
We hata ukisema mkunyenge wako tokea uchanjwe hadi leo umesimama sisi hutushawishi kihivyo,umechanja ni wewe bas!

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
naskia ukichanja kiwango cha haja kubwa kinaogezeka je wewe hujakumbana na hii kadhia?
 
Hutupati hata useme inaongeza nguvu za kiume
Watu ni wabaya sana aisei. Siku ya uzinduzi wa chanjo nilikuta misururu mirefu ya watu wanaotaka kuchanja. Nikasema kweli akili za kuambiwa changanya na zako. Watu wanasema hatuchanji kumbe wameshachanja. Askofu ameahachanja halafu anawaambia wenzake wasichanje
 
Kusema kweli hakuna kumpima mtu kabla ya kumchanja. Mimi sikupimwa sijui kama Kuna mtu alipimwa kabla ya kipatiwa hii chanjo
 
Kila anayelinganisha chanjo hizi na Covax ni mweupe tu. Hamna anachojua. Ni mjinga aliyechangamka.

Huu upumbavu ulioandika hata watengeneza chanjo wenyewe wanakukana. Kwani mkisema ukweli mnaogopoa nini? Na kama hujui kitu si unyamaze tu.

Kwanza hakuna chanjo inaitwa faizer, haipo. Pili chanjo za suruaa na ndui zilikuwa ni mRNA? Tatu hizo chanjo umezitaja ziliingizwe en masse baada ya muda gani. Mwisho unakumbuka ulijaza form ya ku declare liability iwe kwako kwa madhara yeyote kwenye ipi kati ya chanjo ulizozitaja?

Wala usijibu hapa, maana hakuna anayetaka ujibu hapa. Kaa, tafuta majibu ukiisha kuyapata utajiona ulivyo mweupe!
 
umechanja hospitali gani?
 
Usituchukulie wajinga humu..Peleka FB haya mambo 🤣🤣Eti nguvu za kiume ziliongezeka mara tatu,, unakuta zlikua hazipo kbsa ,0*3=0
Nimekimbilia kuisema sex kwakuwa ndio ilikuwa hofu yangu juu ya chanjo. Yaani mm nilikuwa na hofu mbili TU kuhusu chanjo. Hofu ya kwanza ilikuwa kuganda kwa damu na hofu ya pili ilikuwa kupungua kwa nguvu za kiume. Siku 3 nzima baada ya chanjo sikuiwaza Wala kuikumbuka sex nikaanza kuingiwa na hofu. Lakini baada ya siku 7 hivi nikatamani kufanya kila wakati na kila mtu.

Kaka wanachanja watu wenye thamani kubwa sokoni kama Messi, Cr7, Harry Kane na wachezaji wengine wa EPL, sembuse wewe kapuku usiye na chakupoteza? Mbona wachezaji wanachanja na hawageuki mazombie na mabao wanafunga? Kwaakweli tunatia aibu watanzania kwenye hili.
 
Mbegu za GMO hamzitaki lakini chanjo ya GMO mnasema iko salama. Tuwaeleweje?
 
Naomba kujuzwa, mtu aliyeumwa korona akapona na aliyechanjwa. Je ni nani amejenga kinga zaidi kati ya hawa wawili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…