Nilivyopata pesa nyingi nilipokuwa askari wa TANAPA

Ulifeli mzee ulitakiwa uipunguze hata 20 mil, ingekufikisha maldives au hata 30mil ingekufikisha northern pole ukazione dubu
 
Bob Mimi niko kazini. Niliacha kazi baada ya kupata kazi nyingine.
 
Bob Mimi niko kazini. Niliacha kazi baada ya kupata kazi nyingine
Huna hata haja ya kujieleza. Kazi ilikuwa yako, uamuzi wa kuiacha ulikuwa wako. Achana na wajuaji pesa uchwara.

Nimalizie kwa kusema wewe ni Mjinga sana. Unatoaje maelezo kuhusu wewe kupokea RUSHWA kwa uwazi hivi? Jinai haifi. Rekebisha huu upuuzi ulioufanya.
 
Nisamehe kiongozi.
Ila wewe huli rushwa?
 
Hii mambo ilimtokea jamaa yetu mmoja mwana sana. Tukiwa chuo dip alikuwa na stress sana za ada baadae akaanza kupoteza hata tumaini na shule sababu ya dhilki home. Maisha ya kuunga unga kula donei kwa wana. Bahati mbaya kuna lecturer mnoko akamkamata. Akasumbuliwa na kimeo mwishowe aliamua kwenda kujisajili chuo cha wildlife mweka kuanza upya cheti wakamtupa pasiansi.

Ukitaka kujua Mungu alivyo wa ajabu, jamaa kapiga kozi freshi kamaliza with flying colors mwili wake unambeba ni tall wa 6ft aisee. Kapiga live training za bunduki na michezo ya porini akatoboa wakachukuliwa 10 tu kwenye batch yao.

Si akaingia TANAPA mzee....πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ndani ya mwaka tu life lilichange vibaya mno! Lexa alikuwa ni lifeist ambaye hakupata fursa tu toka tunasoma nae ni ana roho ya kizungu sana jamaa. Anakwambia sahizi naishi kama binadamu sitasahau wahuni mliishi freshi na mimi. Kala kamba ya maana anasukuma tako la nyani imebling kinyama hana wasiwasi. Week 2 pori week mbili yuko town anawachakaza akina mama tu. Wote aliokuwa anawatamani na wakamtosa kichuo chuo aliwafagia wote πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Alipoipata fursa aliishi maisha yote aliokuwa anayatamani sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚! Anakwambia sahizi mtu ambaye alikuwa anadharaulika kwenye familia na ukoo kwa ujumla vikao havihitimishwi bila yeye kuwepo. πŸ˜‚

Anakwambia akimalizana na tako la nyani anataka avute V8 moja ya kibabe. Ukimcheki ni chalii kwa sasa labda ndio atakuwa kaingiza 30!
 
Aisee hii nchi ni miongoni mwa nchi adimu Duniani kote
 
Uliridhika mapema sana...
Hiyo pesa ilikuwa ni asante yako hukuwa unafanya ujangili, hivyo ungebaki tuu hapo huku ukifanya biashara zingine.
 
Nilipata kazi nyingine mjini sema tu haina marupurupu
Dah noma sana mzee, rudi porini tu kazi ambayo haina mtipu ni kazi ya kibwege sana. Ndio maana washua wanakomalia per diems tu huko juu kwa vikao vya uongo na kweli tu
 
Acheni kumzodoa jamaa 48m ni pesa ndefu sana alifanya maamuz sahihi,mlitaka auwawe na jangili wakati bank ana 48m?

Tena wanaobeza kuwa hii hela ni ndogo unakuta hata hawajawah kuwa na hela hyo
Hio hela anasema ilikuwa kwenye acc ya siri. Ina maana main account ilikuwa na hela pia. Hawezi kuwa mjinga kwamba aliacha kazi bila kuwa na 100G kwenye account.
 
Kazi za porini ni krimu sana, huwez kukuta gameranger ana stress kama hawa polisi wa bongo.. kuna dogo alikuwa anabaniwa sana na T.O anapewa kazi zile mbovu wazungu waliochoka. Kuna siku akapewa huyo dingi ampeleke town sokoni, mzungu akataka duka la mawe ya tanzanite.

Hata dogo hakudhani huyu dingi mchovu anaeza kununua jiwe hata la laki ila huwezi amin yule mzungu alinunua jiwe la dola elf 50. Dola elf 50 dogo akapewa 20% yake hapo. Nikaamini rizki ya mtu hata binadamu wote duniani wakija hawawezi kuizuia we kuipata.
 
Safi sana!
Mimi pia nilishaacha kazi ya mshahara uliokaribiana na huo wako, nikiwa na mtaji wa 5m tu! Nilianza biashara yangu na kutengeneza pesa ndefu zaidi ya ule mshahara. (Japo sijui wewe uliifanyia nini hiyo 48) wapo watu wana ma miaka kazini, wanashindwa kujiajiri kwa kuona kwamba walichonacho hakitoshi kujiajiri, wanaishia kuwa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…