Nilivyotekwa na Pesa na Kuingia Kwenye Ndoa Ngumu

Wewe ni kiande.

Umepata kazi mwanaume kafilisika ndio unagundua humpendi. Mwanzo hukuona? Unasingizia nguvu ya pesa!!! B!tch is always a b!tch no maraa woti...
 
Hii ndio sababu kuu wanaume sasa wanayo ili akuoe lazima angalie Nini una offer kwake kuogopa Mambo kama hayo mwanamke angekuwa kawekeza kila kitu kwa mwanaume wake hawezi kufanya hiyo kitu kama mtoa mada watu wanaofanya hivyo ni wale ambao wamezoea kupokea pekee bila kutoa chochote zaidi ya uchi wake
 
Kuna siku nili comment sehemu kua baadhi ya wanawake tena walio wengi wapo kwenye ndoa kwa maslahi binafsi upendo hamna wadau wakanijia juu
Inahuzunisha, ila sometimes nawaelewa, inatokea sababu wanaume unaowataka hawakutongozi, wakikutongoza ni wanapiga na kusepa, au wanakua na tabia usizoweza vumilia, pengine aina ya wanaume unaowapenda bado wanajitafta, wana uchumi mdogo hata ukizaa nao hawawezi lisha mtu zaidi ya tumbo lao, hawapo responsible kwa ujumla kazi kukesha baa na vijiweni

Ukiangalia unaona umri unazidi kwenda, sasa ufanyaje mtu anaona a-settle tu sababu ya umri au uchumi ShesRise_1
 
Kumbe huaga upo timamu eeeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…