Nilivyotekwa na Pesa na Kuingia Kwenye Ndoa Ngumu

PART THREE
Maisha yakaendelea,nikaanza rasmi kusimamia majukumu ya nyumbani hapo sijawaambia tulipata watoto mapacha 2 bwana akiwa bado na hela,so watoto wakakua mimi ndo ada ndo kila kitu,bwana kazi yake ikawa kuamka na kukaa tu na kuwatch tv,mimi busy na kupambana mambo yaende, stress zikamvaa balaa no intimacy tukawa tunaishi tu kama ndugu for almost 3yrs na sikuchepuka me umalaya sio mambo yangu heshima kama mke ilikuwa palepale,badae nikaanza kuchoka nikimpa mtaji afanye bizness hataki yani hataki chochote anataka kukaa tu.
Naomba nième ukweli huyu mwanaume pamoja na kunispoil na hela nyingi lakini cha moto nilikiona nilikuwa nateswa physically na emotionaly nikianza kupigwa saa 3 usiku mpaka saa 6 ndo anaacha,sababu unakuta nilimsalimia tu baba wa jirani hilo ni kosa kubwa,kukikucha anakuwekea kwenye akaunti big money ya kukupoza.alikuwa(ga) akipiga simu ukiwa mbali nayo hujasikia utajuta akirudi,nikaanzaga kuwa na hofu na kuogopa watu nikawa najiisolate na watu.
Wazazi wakawa wanakuja kunitoa kwa nguvu nikawa nakataa najiambia moyoni sitoki hapa mpaka nilipe kisasi nalipaje hata nilikuwa sijui,sasa baada ya huyu bwana kuwa bechi île mission ya kulipa kisasi ikajaa kwenye akili.huyu mwanaume anajuta kunifahamu mimi na yeye tumepishana miaka kumi Hé is older than me but ninamwendesha kama mtoto mdogo na sijuti kwa nnayo mfanyia ALINITESA SANA ENZI ZAKE,Kwa sasa anakula nikitaka naomba nisiendelee kwa sasa let me me calm down.nitaendelea PART 3
 
Binti mpumbavu
 
Sawa
 
Myoonshe upendavyo 😂
Hela si zimeisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…