Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa mkuu, Hutakuwa huna namna boss zaidi ya kumwambia pita kule.Nitamuombea kila lakheri Masta.
Kwenye hili sakata binti yupo upande upiHawaelewi masta.
Kama hivyo atumwe mwakilishi ambaye atakua mshenga na baba au mama yako tuRudia kusoma thread yangu Mkuu.
Mahari sio issue na hata ule utaratibu wa kwanza haukua bure kuna fedha iliachwa.
Na hata hiyo sio mahari ni wanataka tukutane ndugu wa pande zote mbili kuwe na kama katafrija (Gharama, Muda, Watu) kwa tarehe hiyo watapatikana kweli??
Binti katoka ukoo mlenda mlenda. Angetoka koo fulani hivi uitwe na wazee mwanaume wako ambaye hajakutolea mahari agome angefutwa kwenye ukoo.Sijaelewa yaani ulimgomea binti kurudi kwao hata mahari hujamtolea,na ukapanga sikukuu ale kwenu na sio kwao. Na bado una nguvu ya kuja kulalamika humu daah
Najua hayo.Hii si ishu kubwa wala.
Tumia mshenga au mtu mzima kuwaelekeza kwamba kwa mwezi huu haiwezekani, wape tarehe nyingine kama mwezi wa 3 au wa 4.
Wakizingua, tulia tu. So far, we ndo umeshika mpini, dada hatakubali kuwa single mom kizembe hivyo.
Bila shaka, atakaa hapo kwao kidogo tu, Kisha ataomba nauli arudi.
Hii si ishu kubwa wala.
Tumia mshenga au mtu mzima kuwaelekeza kwamba kwa mwezi huu haiwezekani, wape tarehe nyingine kama mwezi wa 3 au wa 4.
Wakizingua, tulia tu. So far, we ndo umeshika mpini, dada hatakubali kuwa single mom kizembe hivyo.
Bila shaka, atakaa hapo kwao kidogo tu, Kisha ataomba nauli arudi.
Wangekuja tuu, shida mnadhani ndoa ni kukomoana.Binti katoka ukoo mlenda mlenda. Angetoka koo fulani hivi uitwe na wazee mwanaume wako ambaye hajakutolea mahari agome angefutwa kwenye ukoo.
Sasa wewe unahangaika nini?Najua hayo.
Shida ni kwamba wazazi wangu ni watu wadini sana kwahyo kwa namna yeyote watataka ku force hili swala liwezekane hata kwa kukopa.
Swala la mwezi wa 3/4 ndio ilikua plan yangu.
Wazee wamefanya mawasiliano sana asubuhi ya leo lakini ukweni wamekomaa na misimamo yao.
Wasiwasi wangu ni kwamba sitaki mwishoni nije kuonekana kama niliwafanyia dharau.
Hesabu zangu zipo calculated sana hasa na hawa viumbe jinsia KE.Mkuu ushauri wako wa yeye kashika mpini huwa unawaponza wengi. Huyo akirudi atarudi na kinyongo kitakachofatia ni parapanda isiyo na kesi polisi wala mahakamani
Jamaa anasema hana kitu, hayupo tayari kwenda. Sasa kwanini wanamlazimisha.Mkuu ushauri wako wa yeye kashika mpini huwa unawaponza wengi. Huyo akirudi atarudi na kinyongo kitakachofatia ni parapanda isiyo na kesi polisi wala mahakamani
Walishani ponza kwenye show ya kwanza kitu ambacho kimila ya kwetu walipaswa wagharamie wao lakini nilitoboka japokua sio kwa ubaya.Sasa wewe unahangaika nini?
So uwaeleze wazazi wako kwamba hauko tayari, kama wanalazimisha basi wao wasimamie show nzima.
Mkuu, ishu ni binti kuitwa na wazee halafu umgomee na wazee waufyate. Either wewe ni mwamba sana au binti katoka ukoo mlenda mlenda. Ninachokiona hilo la mlenda mlenda linawezekana kuwa sahihi. Mlenda mlenda namaanisha ukoo usiojali, usio na wazee wa ukoo wanaofatilia mambo.Wangekuja tuu, shida mnadhani ndoa ni kukomoana.
Wangapi wamezalishwa wakatelekezwa na hakuna wazee wamefuata ukoo.
Sababu za kumgomea nimezi ainisha hapo na sio kwamba nilimgomea directly.
Ongea nao sasa kungali mapema, andika zako barua iliyonyooka weka humo hata dollar 50 ya sukari, mpe mshenga apeleke.... Dharula huwa zipo kwenye maisha so kama ni waelewa basi watakuelewa na wasipokuelewa basi ila uzuri itakua iliwapa taarifa mapema.Sio kama nimekataa Masta, issue ni huo muda walionipangia (Ni ndani ya siku 10) isitoshe hii ni january kupata nafasi kwa upande wangu, wazazi na ndugu ni changamoto.
Aisee..Walishani ponza kwenye show ya kwanza kitu ambacho kimila ya kwetu walipaswa wagharamie wao lakini nilitoboka japokua sio kwa ubaya.
Shida ni kwamba mahesabu yangu yanagoma hasa kikiwaza EDD
Im good at it Brother! Thanks!!Usiogope na kimsingi watakuheshimu kama mtu unayesimamia mipango Yako na uko tayari kuongoza familia
Sasa unatakiwa kuwa baba halafu upangiwe huyo mwanamke atakuvua vyeo vyote
Natamani ningekuwa kwenye viatu vyako angalau kwa dk Moja tu
Be a man brother at least for two days yani we lay low no phone no contacts
Utaheshimika hadi mwisho