Niliwahi kuelezea nguvu ya Kanisa Katoliki katika Siasa za Tanzania nikadhihakiwa, sasa taratibu nadhani tutaelewana tu!

Ninachokijua mimi kuhusu RC ni kwamba, hili ni dhehebu kubwa na lenye nguvu kubwa Duniani pote.
Marekani pamoja na ujanja wao wote, hakuna wanachokiogopa kama RC.
Wao wanaita "ROMAN EMPIRE"
Ukienda hapo Nchi ya jirani tu hapo, mtu akitaka kugombea Urais lazima kwanza aombe kibali katika Baraza la Maaskofu Katoliki. Wakikubali anachaguliwa, wakikataa hachaguliwi.
Kwa leo niishie tu hapa kuhusu RC, kwani naona watu wengi humu jf bado hawajaijua vizuri RC.
 
Tayari watu wameshaona huu uzi wako hauna substance yoyote bali story za kwenye vijiwe vya kahawa, story kama hizi huwa wanaanzisha watoto wa sekondari wanapokuwa likizo kwenye vijiwe vyao, ndo maana nikauliza kama shule hazijafunguliwa....
 
We farra huna hata kumbukumbu kuwa Bilal na JK wote walikuwa waislam?
 
Naogopa sana upande wa siasa za dini. Na hasa kwenye maendeleo. Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwette, John Pombe, na sasa Mama SSH. Katoliki. Islam. Wapi wajenga nchi?
 
Mleta mada usiturudishe kwenye udini na ukanda!Watanzania hatutaki hilo.
Na kama alivyoshauri Nyerere tusirudie kuchagua rais kutoka kabila kubwa!!!!!! Kwa amani ya nchi yetu!!
 
Kwa sasa kila mtu akijisikia kuandika anaandika anavyojua. Hivi Warioba, Malecela, Msuya, Lowasa na Sumaye nao ni wakatoliki?
Kwani wote hao waliwahi kuwa makamu wa Rais. Issue ni tangu uhuru hadi sasa hajawahi kuwepo makamu wa Rais ama Rais mkristo asiyekuwa Mkatoliki yani mkristo mprosetitant ama mpentekost.
 
Kwan Rais akiwa wa din flan Eg RC then what's next? Barabara akijenga zitakuwa Za RC?
 
Kijana fanya kazi acha kusubiri ajira za serikali.
Huu utopolo uliouandika ni kwasababu ya uvivu ulio nao kichwani na hata mwilini.
 
Kanisa katoriki limefanya uwekezaji mkubwa kwenye elimu hayo ndio matokeo yake
 
Vipi dini ya kiisalamu, tangu tupate uhuru uliwahi kuona uongozi ambao rais au makamu wa rais siyo Mwislamu?
 
Mzee Mwinyi na hata Kikwete kwa Nyakati zao tofauti Walijisalimisha huko na hsta Ujumbe Maalum wa Papa kutoka Vatican ulitumwa Tanzania tena Ikulu kuja kuwaweka sawa na Kukubaliana.

Unaelewa ulichokiandika lakini? Swali la msingi, hao uliowataja ni wakatoliki?
Kwa mujibu wa Uzi wako, Rais au Makam wake lazima awe Mkatolik. Tuanzie hapo kwanza

Na unaposema walienda kujisalimisha, una ushahidi? Lakini cha msingi zaidi, MTU kwenda Vatican inamfanya awe Mkatoliki?

Rekebisha post yako vinginevyo itakua na mapungufu sana.
 
Mkuu soma mwenyewe ulichokiandika hapa!!
 
Ni kweli nimelisikia kitambo hili lakini ..hata Congo DRC Kanisa Katoliki lina nguvu sana kupanga safu za viongozi wake
Kama lina nguvu mbona hakuna amani awaleti upatanishi acheni zenu hakuna lolote mbn raisi wa marekani sio mkatoliki UK queen sio mkatoliki..???
 
Wongo
 
Lakini kumbuka kwamba hakuna democrasia katika ukatoliki. Ndiyo maana JPM hakutaka kitu kama hicho na kanisa lake likambeba tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…