Niliwahi kuelezea nguvu ya Kanisa Katoliki katika Siasa za Tanzania nikadhihakiwa, sasa taratibu nadhani tutaelewana tu!

Niliwahi kuelezea nguvu ya Kanisa Katoliki katika Siasa za Tanzania nikadhihakiwa, sasa taratibu nadhani tutaelewana tu!

Ninachokijua mimi kuhusu RC ni kwamba, hili ni dhehebu kubwa na lenye nguvu kubwa Duniani pote.
Marekani pamoja na ujanja wao wote, hakuna wanachokiogopa kama RC.
Wao wanaita "ROMAN EMPIRE"
Ukienda hapo Nchi ya jirani tu hapo, mtu akitaka kugombea Urais lazima kwanza aombe kibali katika Baraza la Maaskofu Katoliki. Wakikubali anachaguliwa, wakikataa hachaguliwi.
Kwa leo niishie tu hapa kuhusu RC, kwani naona watu wengi humu jf bado hawajaijua vizuri RC.
 
Watu wa IQ ndogo kama Wewe ndiyo mnasababisha Waafrika wote tunadharaulika.

Upesi sana nionyeshe ni wapi katika Thread Content yangu nimesema ( nimeandika ) Rais Mama Samia Suluhu Hassan ni Mkatoliki kama ulivyozusha Wewe hapa.

Jamani kama mnajijua kuwa mna Upumbavu wa Kurithishwa na Koo zenu tafadhali msiwe mnasoma Thread za Generalist ( alias ) Brainiac sawa?

Mnakera!!
Tayari watu wameshaona huu uzi wako hauna substance yoyote bali story za kwenye vijiwe vya kahawa, story kama hizi huwa wanaanzisha watoto wa sekondari wanapokuwa likizo kwenye vijiwe vyao, ndo maana nikauliza kama shule hazijafunguliwa....
 
We farra huna hata kumbukumbu kuwa Bilal na JK wote walikuwa waislam?
 
Naogopa sana upande wa siasa za dini. Na hasa kwenye maendeleo. Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwette, John Pombe, na sasa Mama SSH. Katoliki. Islam. Wapi wajenga nchi?
 
Mleta mada usiturudishe kwenye udini na ukanda!Watanzania hatutaki hilo.
Na kama alivyoshauri Nyerere tusirudie kuchagua rais kutoka kabila kubwa!!!!!! Kwa amani ya nchi yetu!!
 
Kwa sasa kila mtu akijisikia kuandika anaandika anavyojua. Hivi Warioba, Malecela, Msuya, Lowasa na Sumaye nao ni wakatoliki?
Kwani wote hao waliwahi kuwa makamu wa Rais. Issue ni tangu uhuru hadi sasa hajawahi kuwepo makamu wa Rais ama Rais mkristo asiyekuwa Mkatoliki yani mkristo mprosetitant ama mpentekost.
 
Kwan Rais akiwa wa din flan Eg RC then what's next? Barabara akijenga zitakuwa Za RC?
 
Kijana fanya kazi acha kusubiri ajira za serikali.
Huu utopolo uliouandika ni kwasababu ya uvivu ulio nao kichwani na hata mwilini.
 
Nayaheshimu sana na mno Madhehebu mengine yote ukiachilia langu la Katoliki, ila kwa Tanzania hii na Nguvu ya Kanisa Katoliki tokea Uhuru na lilivyojikita indirectly katika Siasa za Tanzania huwezi kuwa Rais wa Tanzania au Makamu kama siyo Mkatoliki. Ukilibishia hili unataka tu Ligi isiyokuwa na maana kwani ndiyo Ukweli wenyewe.

Huko nyuma nakumbuka nilisema na leo narudia tena Kusema hapa hapa JF kuwa hata wale Marais wa Dini zingine waliowahi Kutawala ( Kuongoza ) Tanzania pia huwa ni lazima iwe ni kwa Uwazi au Kificho waende Vatican kwa Papa na ilipo Ngome Kuu ( kama si Kitovu ) Cha Ukatoliki ili Kujitambulisha.

Na hii Nguvu ya Ukatoliki haijaibuka tu bali ni Makubaliano ' Maalum ' yaliyoluwa ya ' Kimkakati ' zaidi tokea Awamu ya Kwanza ambayo imepelekea kuwa na Kiapo cha ' Siri ' kwa Watawala ( wenye Dhamana ) kuwa nafasi zote zinaweza Kutwaliwa na Madhehebu mengine.

Ila kwa Urais au Makamu wake piga ua si Ombi bali ni lazima awe Mkatoliki na hili wala halina Mjadala na kwenda nalo Kinyume ni Kujitafutia matatizo hasa ikizingatia ndiyo Dhehebu Kubwa Tanzania na lenye Waumini wengi kama ilivyo Duniani lakini pia ndiyo inaaminika kuwa ni Werevu na Wasomi wazuri.

Kwa wale Wakristo wenzangu ambao mnaota ( mnawaza ) kuja kuwa Marais Tanzania miaka ijayo Generalist nakuambia ( nakuambieni ) mapema tu kuwa kama hutokei katika Dhehebu Kubwa la Katoliki sahau labda utaishia tu kuwa Waziri Mkuu au Nafasi zilizopo za chini.

Hata Mama nae si kwamba alichelewa Kumchagua ( Kumteua ) Makamu wake Kimakusudi ila alishatahadharishwa mapema tu na Watu waliokuwa wanalijua hili kuwa lazima Mteule wake awe Mkristo lakini pia atokee katika Dhehebu Kubwa, lenye Nguvu na Ushawishi la Katoliki.

Mlionidhihaki huko nyuma endeleeni tu.
Kanisa katoriki limefanya uwekezaji mkubwa kwenye elimu hayo ndio matokeo yake
 
Vipi dini ya kiisalamu, tangu tupate uhuru uliwahi kuona uongozi ambao rais au makamu wa rais siyo Mwislamu?
 
Mzee Mwinyi na hata Kikwete kwa Nyakati zao tofauti Walijisalimisha huko na hsta Ujumbe Maalum wa Papa kutoka Vatican ulitumwa Tanzania tena Ikulu kuja kuwaweka sawa na Kukubaliana.

Unaelewa ulichokiandika lakini? Swali la msingi, hao uliowataja ni wakatoliki?
Kwa mujibu wa Uzi wako, Rais au Makam wake lazima awe Mkatolik. Tuanzie hapo kwanza

Na unaposema walienda kujisalimisha, una ushahidi? Lakini cha msingi zaidi, MTU kwenda Vatican inamfanya awe Mkatoliki?

Rekebisha post yako vinginevyo itakua na mapungufu sana.
 
Nayaheshimu sana na mno Madhehebu mengine yote ukiachilia langu la Katoliki, ila kwa Tanzania hii na Nguvu ya Kanisa Katoliki tokea Uhuru na lilivyojikita indirectly katika Siasa za Tanzania huwezi kuwa Rais wa Tanzania au Makamu kama siyo Mkatoliki. Ukilibishia hili unataka tu Ligi isiyokuwa na maana kwani ndiyo Ukweli wenyewe.
Mkuu soma mwenyewe ulichokiandika hapa!!
 
Ni kweli nimelisikia kitambo hili lakini ..hata Congo DRC Kanisa Katoliki lina nguvu sana kupanga safu za viongozi wake
Kama lina nguvu mbona hakuna amani awaleti upatanishi acheni zenu hakuna lolote mbn raisi wa marekani sio mkatoliki UK queen sio mkatoliki..???
 
Mtoa maada , Uzi wako unahtaji intelligence people kuuelewa , umeuleta Kwa watoto watoto , hutapata majibu yyte zaidi ya mihemko ya matusi , umeeleza vitu vingi , Ila na bado hata wewe bado hujaijua vyema nguvu ya Vatican ,hata Mimi pia , Vatican ndo inayorun dunia , pale ndo maamuz ya kwamba dunia inaendaje huamuliwa pale Vatican ikipewa support na USA+ Western Countries.... Vatican ni zaidi ya kofia ya mfumo wa kidini , hata makao makuu ya wajenzi huru yako pale ,.... Mashambulizi ya western countries na USA dhidi ya middle East ambayo ndo center ya waislamu yapo activated na Vatican , Mama Samia na dini yake si chochote mbele ya Vatican na analazimika kuwa Royal Kwa Vatican na hawezi bisha , Papa akitua leo Tanzania mapokezi yake ni zaidi ya Rais wa Marekani ....!!!
Wongo
 
Lakini kumbuka kwamba hakuna democrasia katika ukatoliki. Ndiyo maana JPM hakutaka kitu kama hicho na kanisa lake likambeba tu.
 
Back
Top Bottom