This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
Wewe ni wale ng'ombe, mbuzi, punda na kondoo waliotajwa na mtoa hoja ambao hawafanyi Jambo bila nguvu kutumika!Wewe ndiyo unapoteza muda
Promo za Magu zilikuwa za kijinga sanaNchi zote duniani zinamiliki vyombo vya habari vya taifa kama vile TBC, BBC na VOA kwa lengo la kujifanyia propaganda safi.
Hiyo miundombinu ya kujengwa lazima iangaliwe sio ma sgr sijui mastendi na miradi ya kijinga kama hiyo.Nchi za wenzetu kama Ghana wanajenga barabara za uhakika Ili kuondoa hayo matatizo sio kukurupuka na kusema tumenunua ndege kwa cash.Kuna ndugu yangu aliwahi kupoteza mtoto katika foleni ya ubungo wakati akiwa anampeleka hospitali. Jamaa ana pesa nzuri tu (maendeleo ya watu) lakini miundombinu mibovu (maendeleo ya vitu) ilifanya apoteze mtoto.
Kuwabeza na kuita mabeberu ndio fair play?Angekuwa hawapendi wazungu, angewafukuza mabalozi basi mkuu. JPM alikuwa anataka fair play kati ya Tanzania na nchi zingine.
Fair play kwa kumtukana mtu anayesapoti bajeti yako kwa karibia nusu.Fair play wakat diplomasia umetia kapuni.Umejitenga na dunia umejifungia kwako ukiwakamua raia wako kile kidogo Tena wakati mwingine kwa kuwapora mchana kweupe.Angekuwa hawapendi wazungu, angewafukuza mabalozi basi mkuu. JPM alikuwa anataka fair play kati ya Tanzania na nchi zingine.
Tofautisha taifa na kiongozi,Tz itakuwepo milele lkn viongozi wanapita.Tuipiganie Tz na si kiongozi.Na mawazo yako haya ndiyo yataliumiza taifa hili kwa muda mrefu,badala ya kujenga misingi ya kiungozi km taasisi tunapambana kumjenga mtu ambae leo yupo kesho hayupo.Ujinga!!Rais ndiye kiongozi mkuu wa taifa
Pili mikodi mingi,mikubwa na ya kinyonyaji haiwezi kusogeza nchi mbele.Mwanangu umenikosha Sana , hii nchi ya jabu Sana , kwanini haijaruhusu malipo ya PayPal till now? Visa ni ngumu Sana kwenye hii nchi , Ila wakenya hawana hzo mambo wanatoboka kirahsi Sana , na nje ndo kuna hela Yani ili upate hela lazima jirani umnyonye, umpore au akulipe, ndo mana tunashangaa Leo majamaa kuwekeza hapa nchini Zaid ya makampuni 500 why ? Mitaji wanayo na akili wanayo wameitoa wapi ? Nchi Yao ipo connected na dunia ....
Maghufuli alikuwa anaididimiza sana hii nchi kwenye masuala ya uchumi ....
Mama Samia hawezi kufanya lolote la maana , kete yake ya mwisho ni kuruhusu kusukwa katiba mpya ......Kwa katiba hii hataweza lolote Sana Sana tutakuja kumlaumu , miaka miwili ni mingi Sana atakuwa tayar exhausted... Kama ana sikio la uelewa aruhusu mchakato wa katiba mpya quickly as possible before haijawa toolate .....
Leo Ni Mara ya sita nikikwambia huna akili na hujawahi kuleta humu kitu chenye tija.Wewe ndiyo unapoteza muda
Huko Marekani sera za Bush Jr. na Obama zilikuwa zinafanana?Tofautisha taifa na kiongozi,Tz itakuwepo milele lkn viongozi wanapita.Tuipiganie Tz na si kiongozi.Na mawazo yako haya ndiyo yataliumiza taifa hili kwa muda mrefu,badala ya kujenga misingi ya kiungozi km taasisi tunapambana kumjenga mtu ambae leo yupo kesho hayupo.Ujinga!!
Uzalendo ni kuyapigania maslahi ya nchi na si maslahi ya kiongozi.
Propaganda safi kwa ajili ya nchi,Tz ni propaganda ya kumsifu kiongozi,kulinda maovu ya kiongozi na serikali, yetu Ni propaganda mfu.Nchi zote duniani zinamiliki vyombo vya habari vya taifa kama vile TBC, BBC na VOA kwa lengo la kujifanyia propaganda safi.
Huyu jamaa usimsikilize mkuu infantry. Huyu jamaa ni very manupulative in a wrong way. Ni kama anajaribu ku misguide watu.Angekuwa hawapendi wazungu, angewafukuza mabalozi basi mkuu. JPM alikuwa anataka fair play kati ya Tanzania na nchi zingine.
Sawa hakuwa malaika, lakini unapokuwa kiongozi wa nchi(raisi) huwezi kuropoka hovyo hovyo kwa kisingizio eti siyo malaika ana upungufu kama binadamu wengine. Kiongozi lazima ajiheshimu. "Baki na mavi yako nyumbani" hayo siyo maneno ya kusemwa na raisi wa nchi hadharani tena kwenye umati wa watu.