Niliwasha Moto mahali kwa bahati mbaya ukaunguza nyumba 300

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Nilikuwa na shamba langu mahali Fulani mwaka fulani nilienda kulisafisha nilipowasha mabiwi ya majani Moto ukanishinda nguvu kwasababu niliwasha mchana wa jua Kali. Moto unaenda Kijiji I kuchoma nyumba 300 mnisamehe.

Sipendi ujinga. Kisa Cha kwanza.
Meya wa mji x aliniita lofa mbele ya watu nikamvizia alipokuwa peke yake nikamchapa kisawasawa nikakimbia mji.

Kisa Cha pili.
Nilimnunulia baba suti Kali kumbe wakati nipo Italia Rome vitu vyote nilivyokuwa namnunulia mzee walikuwa wanakuja kumuazima wanatumia wao.mjinga mmoja akawa anavaa suti ya baba ni balozi wa CCM anavaa nguo zababa yangu. Kipigo nilichompa hatasahau milele nikakimbia kijijini nikarudi town.

Mwisho nilimpiga kanali wa jeshi kwakuwa alimpa lifti mke wangu Siti ya mbele sijapenda ... Nilimpiga nikahama mji.

Superbug
 
Nilikuwa na shamba langu mahali Fulani mwaka fulani nilienda kulisafisha nilipowasha mabiwi ya majani Moto ukanishinda nguvu kwasababu niliwasha mchana wa jua Kali. Moto unaenda Kijiji I kuchoma nyumba 300 mnisamehe.
KIJIJI HIKO KIKO KUSINI SEHEM GANI KATI YA LINDI NA MTWARA
 
Nilikuwa na shamba langu mahali Fulani mwaka fulani nilienda kulisafisha nilipowasha mabiwi ya majani Moto ukanishinda nguvu kwasababu niliwasha mchana wa jua Kali. Moto unaenda Kijiji I kuchoma nyumba 300 mnisamehe.
Haunitendei haki bwana mdogo. Kwa nini unakwepa kutimiza ahadi yako ya kuniua kwa kuwaibia tv chogo black & white 1988 ukiwasha hadi uzungushe switch 360 na inachukua dakika moja kudisplay. Niue bana so ulitamba humu jamvini lazima ulipize kisasi?
indian-old-man-sitting-andhra-pradesh-south-india-C2MXMH.jpg
 
Kuna fala flan halmadhauri X alizinguliwa na DHRO siku akamvizia jamaa yupo ofisini alone akamchapa vilivyo na hakuna ushahidi.

Hakuna kesi maana hakuna cctv wala mlinzi aliyeona[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yule mjita ni balaa
 
Back
Top Bottom