Niliwasha Moto mahali kwa bahati mbaya ukaunguza nyumba 300
Nilikuwa na shamba langu mahali Fulani mwaka fulani nilienda kulisafisha nilipowasha mabiwi ya majani Moto ukanishinda nguvu kwasababu niliwasha mchana wa jua Kali. Moto unaenda Kijiji I kuchoma nyumba 300 mnisamehe.

Sipendi ujinga. Kisa Cha kwanza.
Meya wa mji x aliniita lofa mbele ya watu nikamvizia alipokuwa peke yake nikamchapa kisawasawa nikakimbia mji.

Kisa Cha pili.
Nilimnunulia baba suti Kali kumbe wakati nipo Italia Rome vitu vyote nilivyokuwa namnunulia mzee walikuwa wanakuja kumuazima wanatumia wao.mjinga mmoja akawa anavaa suti ya baba ni balozi wa CCM anavaa nguo zababa yangu. Kipigo nilichompa hatasahau milele nikakimbia kijijini nikarudi town.

Mwisho nilimpiga kanali wa jeshi kwakuwa alimpa lifti mke wangu Siti ya mbele sijapenda ... Nilimpiga nikahama mji.

Superbug
Ilikua ni Full Uhamishoni to,,[emoji1787]
 
Kuna nyuzi ukizisoma ....yule jamaa wa Lupatu kinga ya wachawi ilinitoa jasho...nyuzi za Ontario kabla jamaa hawajamstukia....
 
Back
Top Bottom