Niliyojifunza kutoka kwenye utekwaji wa Humphrey Polepole

Karma haina mwisho hata waliomuuwa Polepole karma inawasubiri
 
Hao ndio waliompiga risasi na kuagiza akifa akazikwe haraka au sio!? Halafu wakasema ni mbunge mtoro hivyo wamvue ubunge.
 
Hao ndio waliompiga risasi na kuagiza akifa akazikwe haraka au sio!? Halafu wakasema ni mbunge mtoro hivyo wamvue ubunge.
Lissu alikuwa anatumiwa na MAFISADI KUMPINGA MZALENDO JPM ...hivyo ilikuwa sahihi kushughulikiwa kikamilifu ..Leo lissu anajutia kwa kushikamana na wahuni dhidi ya MZALENDO JPM ..LISSU KATAMBUA UPUMBAVU WAKE WA KUKUBALI KUTUMIKA DHIDI YA UZALENDO WA TAIFA ...WAHUNI KINA ROSTAM AZIZI WAMEMUINGIZA CHAKA
 
wakuu sijui mengi kwenye hi dunia, ila najua kiasi tu ivi tawala za kidikteta kwenye hu ulimwengu ivi kunamwanamke yeyote? naomba kujuzwa tafadhal
Kuna huyo anaitwa Hasina alikuwa hapo Bangladesh kabla hajapinduliwa na maandamano ya wanabchi juzi juzi tu na akakimbilia India.
Unaambiwa hilo li_shetani limeua na kuteka watu hapo Bangladesh sio mchezo.
Baada ya kukimbia nchi limehukumiwa KiFO na mahakama nchini Bangladesh. Limepewa hifadhi huko India.
 
Hizi ndio zile porojo zenu chato fc. Chato boy ndio alianzisha huu mchezo wa kudhibiti nchi kama mali yake, na kukanyaga katiba na kuwapoteza wapinzani wake wa kisiasa mfano Ben Saanane na kuwapa kesi uchwara na kuharibu biashara zao halali. Sasa wengine wanaendelea alipoishia yeye.
 
Kwa nini Lissu alikuwa ana lilia kwenda kuliona kaburi la JPM siku za karibuni ? Nijibu ? Tatizo lenu nyinyi ni maanithi wa akili hivyo ni ngumu kuelewa
 
Hiyo namba kumi ndio imenishangaza, kwamba "wananchi wafanye kile cha 29/10"! Kwahiyo unawapa maelekezo na sio unaingia nao front! Ahahahahaha!!!
 
Kwa nini Lissu alikuwa ana lilia kwenda kuliona kaburi la JPM siku za karibuni ? Nijibu ? Tatizo lenu nyinyi ni maanithi wa akili hivyo ni ngumu kuelewa
Kwa hiyo wewe ndio uko Akilini mwa Lissu au sio!? Unajua anachowaza au sio!? Wewe kweli ni ***** wa akili.
 
Huna akili
 
Haya maoni yako ndiyo yamefanya nchi ifike hapa ilipo. Kudhani kazi ya kutetea haki ni kazi ya victims wa unyanyasaji wa dola tu na siyo wananchi wote. Ni kama nyumbu... kudhani kazi ya kupigana na simba ni kazi ya yule aliyekamatwa na siyo wote kwa umoja wao. Namna hii tutasubiri sana.
 
Kwa hiyo wewe ndio uko Akilini mwa Lissu au sio!? Unajua anachowaza au sio!? Wewe kweli ni ***** wa akili.
NDIYO MAANA NIKAWAAMBIENI MUULIZENI LISSU LEO HII ...MTAJUA NINACHO SEMA...LISSU ANA KIKILI KWA KINYWA CHAKE MWENYEWE.
 
Hiyo namba kumi ndio imenishangaza, kwamba "wananchi wafanye kile cha 29/10"! Kwahiyo unawapa maelekezo na sio unaingia nao front! Ahahahahaha!!!
Bila kufanya hivyo hizo chaguzi zenu uchwara mtaendelea nazo kwa kuwa mnawaona WaTz ni wapumbavu tu na ni Haki yenu kuwakanyaga kama zulia.
 
Bahati mbaya sana hajaona kuwa Magufuli kwa kiasi kikubwa ni mwasisi wa kinachoendelea leo. Kipindi cha Magufuli mimi nilikuwa nasema kila siku adui wa Magufuli ni CCM wenzake na siyo CHADEMA, ila wengi akiwemo Magufuli walilewa madaraka na hakuliona hili. NB: Ndugai aliuawa....
 
Kipindi cha Magu hata Mimi nilikuwa upande wa Magu kwangu nilimuona ni Rahisi mwenye mazuri mengi kuliko mabaya asilimia kubwa tuliokuwa tunampenda tulikuwa tuna logic na facts huwezi kufananisha na Wanaompenda Mama
 
Mgonjwa wa akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…