Niliyojifunza kutoka kwenye utekwaji wa Humphrey Polepole

Magufuli alikuwa dikteta mbona hio iko wazi
Kwani wewe nani kakiambia kuwa watu wenye akili tunachukia dikteta yoyote ...Tanzania bila ya kuwa na RAIS DIKTETA MZALENDO NI NDOTO KUJA KUWA NA MAENDELEO NA HAKI NA KATIBA NZURI HATA SIKU MOJA ...KUNA AINA MBILI ZA MADIKTETA
A)MADIKTETA WAZALENDO
B)NA MADIKTETA WASIO WAZALENDO.
Tofauti yao ni kuwa MADIKTETA wazalendo upenda uzalendo na wazalendo na kutafuta viongozi wazalendo ili kuongoza nao ...
Ila MADIKTETA wasio wazalendo , uchukia Uzalendo na wazalendo, kwao UZALENDO NA MZALENDO NI ADUI NO 1
 
Magufuli alikuwa dikteta mbona hio iko wazi
Kwani wewe nani kakuambia kuwa watu wenye akili tunachukia dikteta yoyote ...Tanzania bila ya kuwa na RAIS DIKTETA MZALENDO NI NDOTO KUJA KUWA NA MAENDELEO NA HAKI NA KATIBA NZURI HATA SIKU MOJA ...KUNA AINA MBILI ZA MADIKTETA
A)MADIKTETA WAZALENDO
B)NA MADIKTETA WASIO WAZALENDO.
Tofauti yao ni kuwa MADIKTETA wazalendo upenda uzalendo na wazalendo na kutafuta viongozi wazalendo ili kuongoza nao ...
Ila MADIKTETA wasio wazalendo , uchukia Uzalendo na wazalendo, kwao UZALENDO NA MZALENDO NI ADUI NO 1
 
Mbona huyo dikteta ameshindwa kuacha misingi imara ya nchi
 
Duu hatari!
 
Omba Hekima kuliko pesa,huna Hekima Wala maarifa!
 
Ajifiche wapi juzi hapa katoka kumkurupua muhuni mwenzie aliedhurumu mtu hela ndefu.

Hela imerudishwa.
Ni vile yanatumikaga kwa ubaya kisiasa.
 
Mbona huyo dikteta ameshindwa kuacha misingi imara ya nchi
Swali la kianithi ...kwani alimaliza muda wake ...alipokuwa anaimba sana kuwa "ngojeni ninyoshe nchi wewe ulikuwa unaelewa nini? Uwezi kuunda misingi mizuri na bora ya nchi ikiwa wanufaika wa hiyo misingi mibaya na mibovu ukuwanyoosha kisawa sawa .... misingi hii mibovu ya nchi inawanufaisha viongozi wahuni na familia zao hivyo hao wanufaika huwa ni maadui no moja wa viongozi mzuri kama JPM.
 
Kama ni hivyo mbona alivifungia vyama vya siasa visifanye siasa, au na vyenyewe vilikuwa sehemu ya ubadhilifu wa mali za umma? Hebu tuache upuuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…