Extrovert acha uhuni wako mzee π π π πShikamooni wakubwa,
Kwanza nishangae,
Kwanini watu hawaamini,na hawaaminiki.
Yaani nilichogundua humu watu wengi ni waongo,tena waongo sana,na ndomana wanahisi kila mtu ni muongo kama wao.
Lingine ni kuhusu urahisi wa kumpata mtu,nikisoma maoni kadhaa inaonesha humu ni rahisi mtu kutembea na wanaume tofauti au wanawake tofauti,na wanahisi kila mwanamke ni mrahisi au yupo humu kwaajili ya kutafuta mabwana.
Kuna mtu aliniambia kupost majina yangu na picha vitaniletea matatizo,sasa najiuliza kwanini upate matatizo?kivipi ?
Mimi nadhani ni wakati wa mtu kuchagua Uhuru wake,nidhamu,heshima na mengine mengi kuliko kuishi Kwa wasiwasi.
Napenda utani ,napenda masihara napenda kufurahi,lakini humu watu wamezidi kupenda ngono,hadi najiuliza huku kuna waoaji kweli?au ndiyo kuna wadhalilishaji?
Mimi naamini siku nikitoka na mwanaume wa humu nitaanikwaπππ mpaka nijute.
Ila yote Kwa yote naamini Wanaume wema bado wapo tu,na Kwa uwezo WA Mungu kila kitu kitakuwa.
Naupenda huu mtandao,hadithi,simulizi vichekesho lakini pia naenjoy mnoooβ€οΈβ€οΈβ€οΈ
Karibu tulale tumalizie usingizi

SweetyCandy I'd yake mpyaHivi yupo wapiπ
Kwahiyo unamanisha jimbo liko wazi si ndio!.
π€£π€£π€£ kumbe ulipita kimya kimya kwenye ule uzi! Halafu watu hata hawakuu..Tajiri Sina BAYA ulikuwa unatafuta mpenzi JF changamka pande hizi uopoe kitoto cha afu mbili cheupeeee,jicho legevu Chenye mapozi ya kimahaba!
Binti wa Mungu Marry kwanza hongera kwa hoja na maneno yenye maana (logic ). Wakati na mimi najiunga humu niliambiwa hivyo hivyo kuhusu kuweka utambulisho wangu wa kweli kuwa ni makosa jina langu halisi na picha aisee mpaka nilijishtukia nikakosa amani. Kuna dada mmoja nikawa nachat nae km kuweka ukaribu tu badae nilikuja kumwomba anitumie picha yake ili tujuane aisee aliruka mbali mno lakini lengo langu likikuwa jema tu,yani kiufupi maneno uliyoyaongea ndo nilitakaga kuongea ila wewe ni km umenisaidia hasa pale uliposema WATU WEMA NA WAAMINIFU BADO WAPO HATA DUNIA IHARIBIKE VIPI.Shikamooni wakubwa,
Kwanza nishangae,
Kwanini watu hawaamini,na hawaaminiki.
Yaani nilichogundua humu watu wengi ni waongo,tena waongo sana,na ndomana wanahisi kila mtu ni muongo kama wao.
Lingine ni kuhusu urahisi wa kumpata mtu,nikisoma maoni kadhaa inaonesha humu ni rahisi mtu kutembea na wanaume tofauti au wanawake tofauti,na wanahisi kila mwanamke ni mrahisi au yupo humu kwaajili ya kutafuta mabwana.
Kuna mtu aliniambia kupost majina yangu na picha vitaniletea matatizo,sasa najiuliza kwanini upate matatizo?kivipi ?
Mimi nadhani ni wakati wa mtu kuchagua Uhuru wake,nidhamu,heshima na mengine mengi kuliko kuishi Kwa wasiwasi.
Napenda utani ,napenda masihara napenda kufurahi,lakini humu watu wamezidi kupenda ngono,hadi najiuliza huku kuna waoaji kweli?au ndiyo kuna wadhalilishaji?
Mimi naamini siku nikitoka na mwanaume wa humu nitaanikwa[emoji23][emoji23][emoji23] mpaka nijute.
Ila yote Kwa yote naamini Wanaume wema bado wapo tu,na Kwa uwezo WA Mungu kila kitu kitakuwa.
Naupenda huu mtandao,hadithi,simulizi vichekesho lakini pia naenjoy mnooo[emoji3590][emoji3590][emoji3590]
Karibu tulale tumalizie usingizi
Hivi Afu mbili uliyoitaja hapa ni bei yake au umri wake wa kuzaliwa?Tajiri Sina BAYA ulikuwa unatafuta mpenzi JF changamka pande hizi uopoe kitoto cha afu mbili
Sawa wewe ni mwana-CCM, ndo mpaka kucha upake rangi bendera ya CCM ,halafu naona umeinua gauni kuna mwamba alikuwa anafyonza vitu huko chini ama?View attachment 3343650
Kwanini Umepigia Picha Maliwatoni?
Mie BOLO langu bovu, sina nguvu za kiume, tafuta muwakilishi mwengineNaomba utuwakilishe apunguze kutusimanga member..!! πΉπΉ
Unatafuta mume? Nipo hapa Tajiri wa kusini fuatilia nyuzi nyingi sana watakuwa wananisifu kwa kuwapa misaada ya pesa kiufupi mimi ni tajiri humu njoo PM mremboShikamooni wakubwa,
Kwanza nishangae,
Kwanini watu hawaamini,na hawaaminiki.
Yaani nilichogundua humu watu wengi ni waongo,tena waongo sana,na ndomana wanahisi kila mtu ni muongo kama wao.
Lingine ni kuhusu urahisi wa kumpata mtu,nikisoma maoni kadhaa inaonesha humu ni rahisi mtu kutembea na wanaume tofauti au wanawake tofauti,na wanahisi kila mwanamke ni mrahisi au yupo humu kwaajili ya kutafuta mabwana.
Kuna mtu aliniambia kupost majina yangu na picha vitaniletea matatizo,sasa najiuliza kwanini upate matatizo?kivipi ?
Mimi nadhani ni wakati wa mtu kuchagua Uhuru wake,nidhamu,heshima na mengine mengi kuliko kuishi Kwa wasiwasi.
Napenda utani ,napenda masihara napenda kufurahi,lakini humu watu wamezidi kupenda ngono,hadi najiuliza huku kuna waoaji kweli?au ndiyo kuna wadhalilishaji?
Mimi naamini siku nikitoka na mwanaume wa humu nitaanikwaπππ mpaka nijute.
Ila yote Kwa yote naamini Wanaume wema bado wapo tu,na Kwa uwezo WA Mungu kila kitu kitakuwa.
Naupenda huu mtandao,hadithi,simulizi vichekesho lakini pia naenjoy mnoooβ€οΈβ€οΈβ€οΈ
Karibu tulale tumalizie usingizi
Hapana kwa kweli sipo tayari kuona unapotea πππAu we unasemajeπ
Unataka unipe fursana?
Napotea kivipiHapana kwa kweli sipo tayari kuona unapotea πππ
DahMahi nimeleta serum kutoka Korea pambe sanaa..!! Wahi kabla wenzio wa Buza hawajaushambulia mzigo..!! πΉπΉπΉ
Haina haja ya D mbili ππNapotea kivipi
DahπView attachment 3343650
Kwanini Umepigia Picha Maliwatoni?