Niliyoyaona hapa JamiiForums kutoka kwa Watu aina tofauti

Kama hupigi mizinga mizinga, njoo hapa kwenye hichi kiwanja cha toroka uje, angalau upate ata safari mbili uchangamshe kichwa.
 
Washtue mpk wa vingunguti, serum zangu nzuri sana rangi moja mwili mzima..!! 😹😹😹
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ huyo Marry kaahidiwa cream kutoka ufaransa, akichanganya na hiyo serum ya Korea, atakuwa pyuu km kazaliwa nao vileee.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Humu jukwaani kuna mwanaume mmoja tu mwema aliyebaki. Na ndiyo mimi hapa. Wengine wote waliobaki, usijaribu.
Nakweli mwambie aje atusaidie kulisha mbuzi nakuchinja kuku za wateja kwani nimechoka kipenzi dah bora unaongeza ongeza na wengine wawili ila sitaki waje waishi kwangu wala kushika magari yangu plz wajue hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…