Niliyoyaona hapa JamiiForums kutoka kwa Watu aina tofauti

Tuma like ma maziwa
 
Waja wa JF leo mmepatwa na nn? Au Mello katingisha settings zake, lol
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Coca acha kujificha Ficha kama Bangi,Si umeona mfano Kwa sister Mary katupia picha zake kiroho safi haya twende kazi🀣🀣🀣🀣🀣
 
Coca acha kujificha Ficha kama Bangi,Si umeona mfano Kwa sister Mary katupia picha zake kiroho safi haya twende kazi🀣🀣🀣🀣🀣
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ngoja nikishawaka na cream ya ufaransa na serum ya Korea, mbna ntaweka picha zangu hadi mkerekwee.
Uwiiiiih
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…