Niliyoyaona hapa JamiiForums kutoka kwa Watu aina tofauti

Kama wewe ndio huyo kwenye picha basi nimekupenda nataka nikuoe.

Mimi ni pedeshee mwenye minoti yangu.

Ukinikubali nitakuagizia cream kutoka ufaransa. Utakuwa na rangi moja mwili mzima.

View attachment 3343659
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ jamani mie sitaki, haya tuone hizo cream za ufaransa, waja tuchangamke nazo.
Woiiiiih
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…