Uchaguzi 2020 Niliyoyaona kwenye Uchaguzi huu yanatisha

Una kichuguu wewe na haujielewi.
 

Umemaliza kila kitu!
 
Yanawatisha nyie,sisi wengine tunayaona ya kawaida sana kwa Africa.Ikitokea Africa haki ikawa inatekelezwa mimi binafsi nitakimbilia kanisani maana itakuwa huenda Bwana wa Bwana yuaja.
 
We umejuaje kuwa ni conspiracy theory na si ukweli?
 
Kama wezi wanataka kuwaua unataka wafanyeje?
Yule kinara wa uvccm aliposema safari hii lzm wamuue hata kwa sumu hukusikia?
We unafanya utani! Nchi gani unayo ifahamu wewe imefanya mapinduzi bila ya umwagaji damu?
Ni lazima tukubali kufa ili Taifa lipone na vizazi vyetu vijavyo viishi huru.
 
Ujue nini ndugu yangu? Huu uchaguzi tumekosea kitu kimoja kikubwa sana. Hatukutakiwa kuwaruhusu wa-Tanzania wote wapigaekura, tulitakiwa kuwaachia watu wa Jukwaa la Jamiiforums tu wapige kura wao peke yao kwa sababu hawa ndiyo wawakilishi pekee na halisi wa mawazo ya wa-Tanzania wote, na ndiyo wenye haki ya kuamua ni kiongozi gani anafaa kuongoza nchi hii, ambaye huwa wanakuwa wamemteua hata kabla ya kura hazijapigwa.,

Ila inabidi waelewe kuwa Nchi hii haitatokea hata siku moja, ikatawaliwa na mtu aliye na links za mambo ya kijinga ya ushoga, milele naamuru kwa mamlaka niliyonayo katika jina la Yesu Kristo aliye hai
 
Endelea kujifariji. Kwa akili za kawaida tu Lissu aliyekuwa akitibiwa tangu Septemba 2017 asingeweza kumshinda Magufuli ambaye safari zake za mbali ni kwenda South Africa na Ethiopia.

Haipo namna yoyote ya Lissu kuweza kumshinda JPM na hizo kura milioni moja alizopata ni nyingi sana kulinganisha na muda ambao amekuwa akitibiwa.
 
Mzee vipi hivi huko kwa Trump kweli mambo yameendaje? Mimi kabisa niko ulimwengu wa nne
 
We unafanya utani! Nchi gani unayo ifahamu wewe imefanya mapinduzi bila ya umwagaji damu?
Ni lazima tukubali kufa ili Taifa lipone na vizazi vyetu vijavyo viishi huru.
Wewe upo upande wa wananchi au CCM?
 
Unao ushahidi?
Tukikutaka utoe ushirikiano upo tayari?
Halafu iwe nini? Watu wanaeleza walichokiona kwa experience yao, kama unajikuta TISS kafatilie lile begi la kura Boss.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…