Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Hapo kwenye quantum physics and teleportation pamenivutia. Sasa niseme hivi kisa hiki kitakuwa kizuri mno kama ni cha kweli na hivyo unapaswa kuondoa makandokando mengi yanayokifanya kisa kuwa kirefu mno.
usiwe na shaka, huo ujuzi sio wangu, yangu mimi ni hayo makandokando. Hiyo elimu ya wenyewe, mimi wananipa ni kipeperushi tu. Mwenyezi Mungu amrehemu babu yangu alieniachia hivi vichwa. Arsis ana mengi sana naogopa hata kuyarusha, wacha niende navyo hivi hivi mpaka niwe mzoefu wa kuandika. Arsis alinambia kila kitu ukikifanyia mazoezi ndio utakiboresha, bila mazoezi utabaki hivyo hivyo na vibovu.

Siku moja alinichekesha, alinambia pita tu ukutani kila siku, kuna siku utajiona uko upande wa pili bila kufundishwa na mtu. Sijajaribu.
 
Ahaahaaa! Unaifahamu kidogo quantum physics au huyo jamaa ndio kakuambia kwa mara ya kwanza? Pia usisahau kujibu kama huyo Arsis anaweza kustahimili Jina la Yesu Kristo litajwapo. Muulize.
usiwe na shaka, huo ujuzi sio wangu, yangu mimi ni hayo makandokando. Hiyo elimu ya wenyewe, mimi wananipa ni kipeperushi tu. Mwenyezi amrehemu babu yangu alienichai hivi vichwa. Arsis ana mengi sana naogopa hata kuyarusha, wacha niende navyo hivi hivi moaka niwe mzoefu wa kuandika. Arsis alinambia kila kitu ukikifanyia mazoezi ndio utakiboresha, bila mazoezi utabaki hivyo hivyo na vibovu.

Siku moja alinichekesha, alinambia pita tu ukutani kila siku, kuna siku utajiona uko upande wa pili bila kufundishwa na mtu. Sijajaribu.
ha!
 
Nasubiri kwa hamu kusikia kama huyo Irsis anaweza kustahimili Jina la Yesu likitajwa. Asante
Unataka nikujibu Arsis alisema nini kuhusu hilo? Sitaki jazba lakini, ni majibu ya Arsis.

Arsis aliwahi kusema"Yesu mwenyewe kajua siku hizi kua kuna watu wanamuita Yesu". Nikamuuliz kwanini? Akanambia Yesu hajawahi kuitwa hivyo duniani. mama yake Yesu alikua anaongea Kiaramu (Aramaic) na Kimisri. Nilipomuuliza zaidi akanambia "wewe hupendi kusoma. Hizo lugha zote mbili zinafanana sana na Kiarabu cha zamani".
 
Wasomi wengi wa dini hasa Sunni wanawachukulia sufi kama watu wasio katika usahihi hii ni kutokana na mambo yao hasa wengi kujihusisha na mambo ya uganga ijapokuwa wapo masufi wanaelimu kubwa tuu na ni wachamungu kwelikweli.
Moja katika masufi wakubwa ni huyu Ahmad Al Buni yeye aliandika kitabu maarufu kiitwacho Shams al maarifa inadaiwa ni kitabu cha uganga na mambo

Huyo jamaa umemjibu vizuri sana!!!

Hivi kweli kumtaja Mwenyezi Mungu kunaubaya wowote..... Maana watu wa twariqa sisi ni wachamungu haswaa!!!

Nyoyo zetu hazina maradhi kwasababu ya dhikr
Na kumtaja Allah ni shortcut ya kuupata uchamungu 🤝🤝

Karama za mawalii zipo kwetu, kwasababu ya kujikurubisha kwa Allah 🚶🚶

Haiwezekani mm nimtaje Mungu mara 10000 kila siku, nimswalie mtume mara 7000
Nijizuie na maaswi kwa kadiri niwezavyo

Halafu niwe sawa na mtu anayeswali swala 2 na hajui kumtaja Mungu wala hana habari

Allah kishasema, Mbora katika watu ni yule mchamungu kuliko wenzake🚶🚶

(Note: nimetetea tu kundi ila Mimi sipo hvyo.... Sina uchamungu wowote
bora umewah. " musijitukuze. naam huwez kuwa sawa na aksiyefanya.wewe huenda ukawa bora sana ukisafia nia na usifanye ria kwenye dhikr yako
 
Unataka nikujibu Arsis alisema nini kuhusu hilo? Sitaki jazba lakini, ni majibu ya Arsis.

Arsis aliwahi kusema"Yesu mwenyewe kajua siku hizi kua kuna watu wanamuita Yesu". Nikamuuliz kwanini? Akanambia Yesu hajawahi kuitwa hivyo duniani. mama yake Yesu alikua anaongea Kiaramu (Aramaic) na Kimisri. Nilipomuuliza zaidi akanambia "wewe hupendi kusoma. Hizo lugha zote mbili zinafanana sana na Kiarabu cha zamani".
Sawa mimi nakupata sana hata kwa hili japo najua wenzangu wengi hawatakuelewa hata kidogo. Muulize sasa kama akitajiwa Jina la Yesu atapenda au la.
 
Sorry, Uislamu wote kwangu sio dini sahihi, ni ushirikina mtupu, mmejiunganisha sana na majini kwenye mambo yenu mpaka nashindwa kuiona nguvu ya Mungu na uwezo wake kwenye kutatua shida zenu.

Matatizo yenu mengi mnatatuliwa na majini, huku jina la Mungu mkilitaja juu juu tu ili ionekane mnamuamini, nashangaa nikimsoma huyu mleta story kuna mahali mpaka inaonekana Quran inashindwa kuondoa majini kwa wagonjwa, ila jini la mgonjwa linaondolewa na jini lingine {refer. mwanamke aliyetolewa jini na jini la mleta story Shinyanga}, sasa nyie msaada wenu mnaupata kwa Mungu au majini?!

Hii story nawaambia ukweli, imekuja kuivua nguo kabisa dini yenu, na kitabu chenu, na ndio maana nikimsoma faiza foxy kwenye hii story anaonekana kuipotezea, kama kukipuuza kile mleta mada anachoandika, ni kwasababu ameshaona dini yake anayoipigania humu kila siku, ina muunganiko wa moja kwa moja na majini, anaona aibu anajaribu kuificha, lakini haifichiki!.

Pesa za jamii ya waarabu wengi ni kwa msaada wa majini, sio Mungu, kufanikiwa kwenye mambo mengine kama safarini ni kwa ulinzi wa majini, sio Mungu, wengine wenu mnayaafuga majini ndani, mimi nitashangaa sana kama siku ikifika nikamuona muislamu yeyote wa hii dunia ameurithi ufalme wa Mungu, unless muwe na hiyo pepo yenu wenyewe ya mabikra 72!, lakini sio yule Mungu wa rohoni ninae mwabudu mimi na kumtumikia, kwa jina la Yesu Kristu wa Nazareth.
Hii Ni kwa mujibu wako wewe ila jitahidi usome ata comperative religion kidogo juu ya hizi dini kubwa tatu maarufu kama abrahamic religion yaani uislamu, ukristo na uyahudi utapata mwanga kidogo, kwa jinsi ulivyo andika tu nimegundua haujui uislamu kabisa bali unahukumu kwa kusikia tu Mwenyezimungu akuongoze ndugu kwenye njia ya haki.
Kuhusu Ukristo sitaki kuuongelea sana ila jitahidi kusoma biblia vizuri kwa kutuliza akili yako utaona mwenyewe jinsi ulivyopotea
 
Inatokea post namba 333. (natumai sijaruka sehemu).

Babu yangu akaendelea kunielezea.

Babu; Nilipoingia chumba changu cha private, Ramses akanisalimia, kwa sauti tu, ndio mara ya kwanza. Kwa kua nilishaambiwa, sikustuka sana, nikajibu salamu yake, akawa ananisemesha Kiaarabu cha Kimisri, nashukuru nilimuelewa ingawa nilikua sina uzoefu nacho lakini nilimfahamu, nikamwambia, tuongee Kiswahili, mimi nasikia Kiarabu chako, nakuelewa lakini mzito kuongea Kiarabu hicho. Akanambia, ongea lugha yoyote unaoijua vizuri.

Arsis: Shukran sana, nafahamu kazi ulioifanya sio ndogo, watu wengi wasingeiweza, watu wanaogopa majini, lakini wewe hukuogopa, mimi nafahamu ujasiri unaupata wapi, lakini hilo sio lililonileta leo.

Leo nimekuja kutoa shukran zangu, kujitambulisha na nimekuja kuitaka idhini yako tuwekeane mkataba.

Babu; Mkataba wa nini tena?
Arsis; Mimi niliweka ahadi aytakenitoa yeyote awe jini au binadam au kimbe mwengine yoyote nitamfundisha kila ninalolijua na nitakua karibu daima, mimi nafahamu elimu nyingi sana.
Babu; Hilo nipo tayari.
Arsis; Sijamaliza, pia nitakua rafiki yako na vizazi vyako mpaka utapofikia wakati wangu, sijui lini.
babu; kwanini ulifungwa?
Arsis; Elimu yangu ndio ilinifunga? Sikufungwa kwa kufanya maovu, nimefungwa kwa kufanya mema.
Babu; Nitaamini vipi?
Arsis; Nafahamu huwezi kuamini kwa sababu wewe unawaju majini, majini wengi waongo kama binadSISam. Mimi sio jini.
Babu; Wewe nani kama sio jini?
Arsis; Mimi mtu kam wewe kwa sasa, lakini naweza kua chochote kile. Isipokua nilipenda sana kua binadam ni binadam kwa miaka mingi sasa.
Babu; Unamaanisha nini kwa miaka mingi sana ni binadam, ulikua nani kabla hujawa binadam?
Arsis; Mimi naweza kua chochote, mimi nilijaaliwa kuweza elimu ya kuweza kua ninavyotaka, lakini nimependa kua binadam.
Babu; Unaitwa nani?
Arsis; Naitwa Arsis?
Babu; Wewe katika ukoo wa kifarauni?
Arsis; Hapana lakini niliishi na Ramses na Barsis.
Babu; Hao mafirauni?
Arsis; Ndio, nitakupa kitabu uwasome ukipenda.
Babu; Ninachoi kitabu nitawasoma.
Arsis; Safi sana, una elimu nzuri kwa kupenda kusoma. Ukipenda kusoma zaidi, mimi Mwalimu wa maboi mengi.
Babu: Sikiliza Rmses. Ungfahamu kwanini tumekufungua kifungo chako?
Arsis: Nafahamu kila kitu, nimeongea na Jini Bakora. Alikuja jini wa mgunya nikakataa kuongea nae mpaka kwa niongee na wewe. Sio kwa vibaya lakini ilikua ahadi yangu niliojiwekea. Nashukuru siku ile uliponitoa hukuumia. Ulikua na ulinzi mkubwa sana.
Babu; Nieleze kilitokufanya tukufungulie.
Arsis: Mali za Wajerumani za Amboni. Kuna habari mbaya sana mbili. Ya kwanza yule kijana hayupo tena duniani, toka siku mlionifungulia. Alikua hana ulinzi wa kutosha, wachawi wa kijjini wakammaliza.
Babu; Inna li llahi wa inna ilayhi rajijuna. Habari m baya nyingine ipi?
Arsis; Wajetunmani hawakuzika mali Amboni, walizika masanduku ya bunduki zao na mabomu ya mkono. mengi yameliwa na kutu, walizika sio mbali sana na bhari, chumvi imekula masanguku, sana sana mtakuta kutu na mabaki kidogo hayafai, sema kuna masanduku mtapata mbao zake, haziharibiki. Chuma yote imekwisha. Bora wangezamisha kwenye bahari mngekuta zote. Walifanya makosa, walifukia halafu wakaweka nondo na zege, na pale chumvi nyingi. Si unajua pale watu wanatengeneza chumvi?
Babu; Najua Ambini wanapotengeza vchumvi.
Arsis; Pale pale lakini kwa juu kule sio huku wanatengeneza chumvi. Juu kule kuna alama ya miti ya mibuyu mitatu na alama za mawe chini, watu wengi wamechimba pale. Lakini hakuna mali. Hiyo ndio habari mbaya ya pili.

Babu; Kweli hizo habari mbaya. Sisis tupo salama na hao majini?
Arsis; Mpo salama kabisa, wala usiwe na shaka wala hamtafutwi na jini yoyote. Jini Bakora ni hodari sana. Ameshafanya mikataba ya amani.
Babu: Nitaamini vipi unayonambia?
Arsis: Kwanza sina sababu ya kukudanganya, halafu utaona mwenyewe. Wewe nitumie, ninachoweza kufanya nitafanya.
Babu; Utataka malipo gani na kwanini nikutumie?
Arsis; Hakuna malipo yoiytite, mimi sio mchawi na sihitaji kitu chochote kutoka kwa binadam wala jiniyoyote. Naishi kwa uwezo wa Muumba wetu.
Babu; Kwanini usiwe na maisha yako.
Arsis; Mimi namisha yangu lakini nilipokua kifungoni nilikua naomba sana. Mwenyezi Mungu akakufanya wewe ndio sababu ya mimi kupata uhuru wangu. Niliahidi kwa nafsi yangu na kwa Mwenyezi Mungu, siwezi kuvunja ahadi yangu.
Babu; Sasa kazi tuliodhani utatufanyia hakuna tena. Dah sijui itakuaje, itabidi niongee na wenzangu.
Arsis; Sawa kabisa ongea nao lakini wao hawana haki na mimi kabisa sina ahadi nao, ahadi yangu inakua kwako uliekata ile mfuniko. Ile ndio kai kubwa kuliko zote; Ilifyngwa na mabiungwa wa uchawi wa kijini.
Babu; Kifungo chote hicho? unasema kwa ajili ya mema sio uovu?
Arsis; Ndio kama nilivyokueleza, hakuna sababu nyingine, ni isa kirefu.
babu; sasa mkataba wanini na mimi?
Arsis; Mkataba sio lazima wa kuandikiana mkataba ni kukubali tu ili wewe uelewe mimi niko na mimi nielewe upo na sisi ni marafiki na wewe ndio mwenye kauli kwangu. Tukikubaliana nitakupa mawasiliano yangu, nitakutengenezea pete kama hii yangu lakini kwa 'mada" za duniani.

Babu; akanambia mimi "Hapo ndipo aliponionesha pete hio ulioivaa bwana mkubwa".

Arsis: Wewe ongea na wenzako wote na wengine pia. Ukiona kuna ubaya, mimi nitakua mbali kabisa na wewe lakini ukinihitaji nitakuja haraka sana.
Babu; Sawa; Hauna kingine cha kunieleza.
Arsis; Kuna mengi sana ya kukukuele lakini kwanza malizeni mauzungumzo yenu, mtulizane mrudi kwenye kazi zenu, mimi yangu siyamalizi.

Babu: Sawa nimekuelew, nikikuhitaji niytakuita lakini mkataba kwa sasa tusubiri na mimi nifikiri, maana mambo yamekua mengi sasa.
Arsis; Sawa kabisa kwaheri.

Arsis akaenda zake.

Babu: haya bwana mkubwa swali lako limepata ufumbuzi au bado, hicho ndicho kisa cha kukutana na Ramses.

Mimi; Bbu sasa kuna maswali megi zaidi.
Babu: nakushauri suniri kwanza maswali yafikirie vizuri utaniuliza wakati wowote, sasa hivi subiri kwanza.

Mimi : sawa babu. Jitayarushe kunijibu kwanini Arsis akanipa mimi pete yake?
Babu: Hilo nitakujibu sasa hivi. Baada ya kua na Atsis miaka mingi akawa ananisisitiza nianze kuwarothisha wanagu ujuzi wangu lakini hakuna aliyeelekea isipokua wa kike, wote wengi e walikua wanapuuza, ulipozaliwa wewe tukaena huyu tumweke karibu tupate mrithi na mengine tumwachia Allah ndio ulipobalehe, Arsis akanambia ameona anaweza kua karibu sana na wewe, na kwa fadhila yake atakupa pete kama kwana zawadi yake na urafiki wetu na hana mpaka sasa wa kumpa jio pete, kwao huko unasema kabaki peke yake katika vizazi vyake. haya bwana mkuba usichomekee lingine.

Mimi haya babu: Ahsante, nitamuuliza mengine Arsis.
babu; tena atafurahi sana, anapenda sana maswali na kufundisha, kanikuta mimi sio mtru wa kuuliza uliza sana, sasa umri huu nisome nini tena, umri huu mimi wa kyfanya toba na kazi njema za watu. kwaheri babu.

Mimi; kwaheri babu.

Itaendelea.
 
Naona Arsis hana uelewa mpana kuhusu Ukristo...my first doubt
Inawezekana, hata mimi sina uelewa mpana katika Ukristo ndio maana nikashindwa kumuuliza mengi ya Ukristo. Sema yeye naona kanielezea sana kizazi cha Mariam na wanae kwa ajuavyo yeye, sielewi kama Wakristo au Waislam wanakubaliana nae.

Mnaweza kuuliza maswali ili tumuulize au mumuelimishe nae apate kuelewa kutokea uoande wenu, na yeye mwenyewe anasema anatusoma kila mimi ninaposoma huu uzi.
 
N

Naam nasubiri muendelezo mkuu
 
Sorry, Uislamu wote kwangu sio dini sahihi, ni ushirikina mtupu, mmejiunganisha sana na majini kwenye mambo yenu mpaka nashindwa kuiona nguvu ya Mungu na uwezo wake kwenye kutatua shida zenu.

Matatizo yenu mengi mnatatuliwa na majini, huku jina la Mungu mkilitaja juu juu tu ili ionekane mnamuamini, nashangaa nikimsoma huyu mleta story kuna mahali mpaka inaonekana Quran inashindwa kuondoa majini kwa wagonjwa, ila jini la mgonjwa linaondolewa na jini lingine {refer. mwanamke aliyetolewa jini na jini la mleta story Shinyanga}, sasa nyie msaada wenu mnaupata kwa Mungu au majini?!

Hii story nawaambia ukweli, imekuja kuivua nguo kabisa dini yenu, na kitabu chenu, na ndio maana nikimsoma faiza foxy kwenye hii story anaonekana kuipotezea, kama kukipuuza kile mleta mada anachoandika, ni kwasababu ameshaona dini yake anayoipigania humu kila siku, ina muunganiko wa moja kwa moja na majini, anaona aibu anajaribu kuificha, lakini haifichiki!.

Pesa za jamii ya waarabu wengi ni kwa msaada wa majini, sio Mungu, kufanikiwa kwenye mambo mengine kama safarini ni kwa ulinzi wa majini, sio Mungu, wengine wenu mnayaafuga majini ndani, mimi nitashangaa sana kama siku ikifika nikamuona muislamu yeyote wa hii dunia ameurithi ufalme wa Mungu, unless muwe na hiyo pepo yenu wenyewe ya mabikra 72!, lakini sio yule Mungu wa rohoni ninae mwabudu mimi na kumtumikia, kwa jina la Yesu Kristu wa Nazareth.
Hebu iache stori iendelee ili tuisome na kujua mbichi na mbivu.
Mtoa mada anaeleza alichokutana nacho na sio anavyosema yeye. Yaani maelezo anayosimulia sio maneno yake bali alivyosimuliwa na kuona baada ya kufumbuliwa macho.
Kama ni mtu wa Imani unatakiwa kusoma kwa umakini ili kujua kinacho endelea nje ya Imani yako ili upate maarifa ya kuimarisha Imani yako.
Nadhani umenielewa.
 
Wasomi wengi wa dini hasa Sunni wanawachukulia sufi kama watu wasio katika usahihi hii ni kutokana na mambo yao hasa wengi kujihusisha na mambo ya uganga ijapokuwa wapo masufi wanaelimu kubwa tuu na ni wachamungu kwelikweli.
Moja katika masufi wakubwa ni huyu Ahmad Al Buni yeye aliandika kitabu maarufu kiitwacho Shams al maarifa inadaiwa ni kitabu cha uganga na mambo ya talasimu.
Hicho kitabu Arsis alishakiongelea kwangu sana tu. Nikumbushe nilete katika safu mpya zinazokuja za "vionjo vya Arsis".

Ngoja nitafute mkanda wake.
 
Corazon Espinado.

Siyo utani. Kisa chako ni kizuri sana. Siyo kwa huo usimba ushuzi wako.

Kuna mengi yanaingia akilini. Ushauri wangu kwako, usiwe na haraka ya kupost ulichoandika. Andika post yako, tulizana, isome mara mbili tatu, rekebisha makosa ya kiuandishi kadri ya uwezo wako, kisha ndiyo post.

La pili ni ombi, naona kuna masuala ya dini yamejitokeza, natamani uniruhusu niyajibu ninavyoelewa mimi.

Mambo yako na majinni wako sikuingilii, nikiwa na swali huko ntauliza.

Ombi langu la mwisho kwako, tafadhali sana wachana na u foxy wangu na usimba wako. Tumekutana kwenye mtandao yaishie kwenye mtandao na mada zilizopo. Mjmi sikujuwi kabisa. Nikisema nakujuwa ni kwa kukutania tu. Ispokuwa, umemtaja mtu wa Shinyanga ambae nafahamiana nae toka utotoni, wamekuwa pamoja na mume wangu kwa ukaribu kabisa. Nawahamu ukoo wake wote. Ulichoelezea kijuujuu kuhusu huyo mtu wa Shinyanga ni ukweli mtupu.

Tafadhali nielewe, maana naona uzi umeshaingia watu wa jazba, wewe "remain cool" utupe kisa au visa vyako. Narudia, nimekipenda kisa chako, wachana na vile visa vyako vya usimba ushuzi.
Una gubu we mbibi wewee
 
Arsis sio jinn wala sio malaika wala sio mtu ILA anaweza kuwa chochote.

Bado ni fumbo, mimi ningependa tu nijue utambulisho wake yeye ni NANI???

Naomba umuulize hiyo elimu aliyonayo inamipaka(kumaanisha kuna vitu havifahamu), ama anaufahamu wa kila kitu?

Muulize ikimpendeza uweke na audio yake tuisikie sauti yake.
 
Sorry, Uislamu wote kwangu sio dini sahihi, ni ushirikina mtupu, mmejiunganisha sana na majini kwenye mambo yenu mpaka nashindwa kuiona nguvu ya Mungu na uwezo wake kwenye kutatua shida zenu.

Matatizo yenu mengi mnatatuliwa na majini, huku jina la Mungu mkilitaja juu juu tu ili ionekane mnamuamini, nashangaa nikimsoma huyu mleta story kuna mahali mpaka inaonekana Quran inashindwa kuondoa majini kwa wagonjwa, ila jini la mgonjwa linaondolewa na jini lingine {refer. mwanamke aliyetolewa jini na jini la mleta story Shinyanga}, sasa nyie msaada wenu mnaupata kwa Mungu au majini?!

Hii story nawaambia ukweli, imekuja kuivua nguo kabisa dini yenu, na kitabu chenu, na ndio maana nikimsoma faiza foxy kwenye hii story anaonekana kuipotezea, kama kukipuuza kile mleta mada anachoandika, ni kwasababu ameshaona dini yake anayoipigania humu kila siku, ina muunganiko wa moja kwa moja na majini, anaona aibu anajaribu kuificha, lakini haifichiki!.

Pesa za jamii ya waarabu wengi ni kwa msaada wa majini, sio Mungu, kufanikiwa kwenye mambo mengine kama safarini ni kwa ulinzi wa majini, sio Mungu, wengine wenu mnayaafuga majini ndani, mimi nitashangaa sana kama siku ikifika nikamuona muislamu yeyote wa hii dunia ameurithi ufalme wa Mungu, unless muwe na hiyo pepo yenu wenyewe ya mabikra 72!, lakini sio yule Mungu wa rohoni ninae mwabudu mimi na kumtumikia, kwa jina la Yesu Kristu wa Nazareth.
hizi ni views zako tu.wala hupingwi unavyoamini. u dont know a thing. hujui hata kuwa miaka ya 1500 tu hapa juz juz ulaya yako unayoiabudia na kuona imestarabika ilikua na kitu clkinaitwa purge. ulaya ilikua inachoma moto wachawi.tena wanaoufanya uchawi kwa msaada wa majini. sasa ukisema majini yanafungamana na dini fulan unakosea.mana ulaya wala hawatumii maandish ya kiarabu unayoyaogopa wewe, na ukiona tu maandish ya kiarabu mbio mbio unasema hii kuruani.yan kwa ujinga hata ukiokota kipande cha pageya gazet la kutoka misri utasema umeokota kuruani? hebu soma soma bas uwage hata na elimu ya kutofautisha mambo.acha mhemko. kukusadia weng unaosema wanatumia dini kufuga majin may be yes sijui labda kwa sabab asil ya elimu ya kidunia inayotumika east africa nying imetoka mddle east ndio mana utaona wenye kufanya uganga wanatumia elimu kutoka huko.ila usifungamanishe dini na kitu ingawaje hata nyie mkiumwa ikishi dikana mnawafataga hao hao mashehe kwwa vile mnajua vinafanyaga kazi, uongo?
 
Kwa hivyo karibu na Ikulu kuna ‘worm hole’ into other time dimension and time travel is possible.

Wazungu watakupa hela mingi sana ukiwaonyesha hiyo sehemu, “Einstein Field Equation” predicted that lakini mpaka leo hawajui zipo wapi.

Not to dismiss story yako entirely ila kama vile chumvi ni nyingi sana.

Vinginevyo I certainly believe kuna mambo mengi ya dunia binadamu hatuyaelewi. Ila chumvi nyingi sana ambazo hazi-add-up.
hio warm hole sijui black hole bado ni assumptions tu za sayans.so wewe unaamin mtu anaweza akaenda future? kwa hio hao wa future nao wana future yao? ni uongo.ila naweza kuamin kuna dimensions nyingine kama tulivuoelezwa na mtoa mada kwamba muna dunia 7 hizo kama kuna elimu ya kufika huko wapo watu wanafika.dunia kubwa hii wapo wenye elimu hizo
.hivyo hivyo mbingu zipo 7 ila kufika huko ndio kasheshe.einstein ushuz
 
Back
Top Bottom