Nimeacha pombe na sigara lakini napata taabu sana, sipati usingizi hadi usiku wa manane

Dawa ya usingizi ni asali na tangawizi utalala usingizi mzito sana usifanye mazoezi magumu jioni tembea km 5-10 inatosha kabisa
Nafanyaje mkuu nachemsha au natafuna japo asali nina changamoto nayo ilikua inaniuma tumbo kipindi cha nyuma so nilikua siifagilii
 
Mkuu nilijitahid kufanya hivyo lkn niliona muda unaenda tu na nikinywa pombe ndio nilikua napata mshawasha na kuvuta sigara so niliamua kuacha tu gafla siku za mwanzo nilikua kama mgonjwa mkuu
Ukifanikiwa kuacha pombe maana yake umeiokoa nafsi Yako
Siku hizi hakuna pombe Kuna chemicals kutoka maabara ndio wanaita pombe
 
Nafanyaje mkuu nachemsha au natafuna japo asali nina changamoto nayo ilikua inaniuma tumbo kipindi cha nyuma so nilikua siifagilii
Una grind au kutwanga Kisha unatengeneza chai flani ila ya tangawizi pekee Kisha unaweka asali vijiko viwili hapo utakuwa na afya Bora sana
 
Una bahati umeshtuka mapema...Umefanya jambo zuri kuacha mafegi na mabangi
 
Hongera usirudi nyuma hizo ni withdrawal syndromes zitapotea tu in time
Amen mkuu🙏🙏 hata mimi naamini nitashinda sijataka kwenda hospital kufata madawa ya kitaalam
 
Una bahati umeshtuka mapema...Umefanya jambo zuri kuacha mafegi na mabangi
Sahihi mkuuu nilikua napiga embassy angalau 4 kwa siku na kw
Una grind au kutwanga Kisha unatengeneza chai flani ila ya tangawizi pekee Kisha unaweka asali vijiko viwili hapo utakuwa na afya Bora sana
Shukran mkuu nifanye hivyo muda huu
 
hongera sana Leonce kazana usirudi nyuma kijana wangu

sigara kwanza haileti choo hiki ni kilevi cha mazezeta huku pombe ikiwa kiburudisho cha umasikini

ukichukia umasikini pombe na sigara huwezi kutumia
 
Ni kweli mkuu ndio maana sitaki kukaa bure bure kabisa yaani nahakikisha nimeji keep busy busy pia nimepunguza kukaa na wanao tumia otherwise tuna kaz maalum
Mungu akusaidie sana, hongera sana, ukijikuta na hamu ya kunywa/kuvuta iambie nafsi kama jana uliweza leo utaweza pia, siku kwa siku wewe ni mshindi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…