Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ongeza bidiiAmen mkuu napambana japo sio mchezo napata hali isiyo ya kawaida lkn nitashinda awali nilikua natememeka kabisa mkuu
Amen mkuu nitashinda hakika maombi yenu na faraja zenu ntafika sehemu itakuwa historiaMungu akusaidie sana, hongera sana, ukijikuta na hamu ya kunywa/kuvuta iambie nafsi kama jana uliweza leo utaweza pia, siku kwa siku wewe ni mshindi.
Wataalamu wa mambo wanasema ukisikia hamu ya sigara unatumia pipi kifua,mwisho wa siku ubongo utanyosha mikono juuNi kweli mkuu ndio maana sitaki kukaa bure bure kabisa yaani nahakikisha nimeji keep busy busy pia nimepunguza kukaa na wanao tumia otherwise tuna kaz maalum
Sawa mkuu mimi nimeamua kuacha gafla maana nilisema toka 2023 nitaacha lkn nilishindwa kuacha zaid ya kusema mwezi ujao na hivyo december niliamua na sasa nina mwez sijavuta sigara wala kugusa chupaBinafsi nakupongeza kwa hatua hiyo, mimi nilikuwa mraibu wa pombe kali, ilifikia hatua nisipokunywa natetemeka mikono mpaka kuandika inakuwa tabu, ilinibidi asubuhi kabla ya kwenda job nipige hata robo rita ndio nikifika kazini nakuwa vizuri. Lakini nashukuru nina kama miezi 4 nimeacha pombe kali nakunywa bia kadhaa kisha nalala ingawa napata tabu sana na niko kwenye mkakati wa kupunguza kama sio kuacha ila sitaki kuacha ghafla maana najua itanitesa so shikiria hapo hapo ulipo, sigara sijawahi kuvuta kwahiyo sina uzoefu nayo
Maganda ya ndizi mbivuNdizi mbivu au mbichi mkuu
Kwanza nakupongeza sana kwa kuachanana na unywaji wa pombe na uvutaji wa sigara,habari wakuu. Weekend nyingine ya mwanzo wa mwezi february sasa.
mimi ni kijana (me) wa umri wa miaka 27 nilianza kuvuta sigara mwaka 2016 nikiwa advance.
NImevuta miaka sasa pamoja na kunywa pombe japo sikuwa addicted sana nilikua naweza kupitisha hata week bila kuvuta wala kunywa.
Lakini mwaka jana 2024 baada ya x mass niliamua kuacha kunywa pombe na kuvuta sigara nimefanikiwa sasa nina mwezi sijagusa pombe wala sigara.
Lakini napata tabu sana mchana najaribu ku keep busy na ikifika jion naenda mazoezi uwanjan napiga ball na aerobics nyingine ili kupunguza ashk ya kuludi nilipotoka.
Lakin hivi karibuni nimekuwa nakosa au napata usingizi kwa tabu na kwa kuchelewa sana huku nikiwa na hamu ya kuvuta. Hapo awali hadi mikono ilikua iktetemeka kama sijavuta. Lkn nilishinda hiyo hali sahivi nakosa usingizi.
Watu wa karibu ikiwemo jamaa na rafiki ndugu hawajui wala sijawai vuta mbele yao pombe at list walikua wananiona mara moja moja nikiwa nimechangamka
naomba ushauli ndugu wataalam wa afya na wengine ambao mlichukua maamuzi kama yangu kuacha hivi vitu ili nisiludi nilipotoka. Mtanisamehe kwa uandishi mmbovu
Yeah wanao acha sigara wengi wanafanya hivyo,unajua kiambata cha nikotini katika sigara kinafanywa na ubongo kama kitu ambacho kinahitajika katika matumizi ya mwili ya kawaidaAmen ngoja ninunue pia lile karatas zima liwepo getho
Aisee ina arosto kubwa nashauri mtu kama hajawai asijalibu hata pafu mojaYeah wanao acha sigara wengi wanafanya hivyo,unajua kiambata cha nikotini katika sigara kinafanywa na ubongo kama kitu ambacho kinahitajika katika matumizi ya mwili ya kawaida
Kwahiyo badala ya nikotini una exchange na pipi kifua,mwisho wa siku arosto ya sigara inaisha