Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umefanya uamuzi sahihihabari wakuu. Weekend nyingine ya mwanzo wa mwezi february sasa.
mimi ni kijana (me) wa umri wa miaka 27 nilianza kuvuta sigara mwaka 2016 nikiwa advance.
NImevuta miaka sasa pamoja na kunywa pombe japo sikuwa addicted sana nilikua naweza kupitisha hata week bila kuvuta wala kunywa.
Lakini mwaka jana 2024 baada ya x mass niliamua kuacha kunywa pombe na kuvuta sigara nimefanikiwa sasa nina mwezi sijagusa pombe wala sigara.
Lakini napata tabu sana mchana najaribu ku keep busy na ikifika jion naenda mazoezi uwanjan napiga ball na aerobics nyingine ili kupunguza ashk ya kuludi nilipotoka.
Lakin hivi karibuni nimekuwa nakosa au napata usingizi kwa tabu na kwa kuchelewa sana huku nikiwa na hamu ya kuvuta. Hapo awali hadi mikono ilikua iktetemeka kama sijavuta. Lkn nilishinda hiyo hali sahivi nakosa usingizi.
Watu wa karibu ikiwemo jamaa na rafiki ndugu hawajui wala sijawai vuta mbele yao pombe at list walikua wananiona mara moja moja nikiwa nimechangamka
naomba ushauli ndugu wataalam wa afya na wengine ambao mlichukua maamuzi kama yangu kuacha hivi vitu ili nisiludi nilipotoka. Mtanisamehe kwa uandishi mmbovu
Jitaidi mkuu wangu maamuzi daima uanzia ndani Yako c Kwa mtu mwingine🙏Mkuu sitaki hata harufu yake nafanya kila namna kukwepa hayo mazingira zinapopatikana kirahisi
Asante mkuu ntazidi kupambana kila njia mpaka nishindetafuta mbegu za maboga hata kilo moja mix na aidha mtama au mahindi yani tengeneza kama lishe halafu saga, uwe unapika uji unakunywa kwa siku asubuhi na jioni fanya hivyo kwa mwezi mmoja utaona usingizi unavyoanza kukuvagaa, vitu vyengine kwasasa usiku usipende kukaa na mwanga wakati wakulala yani kama ukiwa unaenda kulala vitu vya mwanga zima, pia penda kuchosha akili aidha kwa kutafakari ama kusoma makala zakufikirisha ama hadithi zakufikirisha hii huufanya ubongo uanze kujilazimisha kupumzika!, so utakuwa unashangaa tu gari limezima!.
zingatia usije tu ukaanza kutumia dawa za usingizi utakuwa addicted hiyo hali itaisha yenyewe ni swala la muda tu utakuwa unalala usingizi kama wa mtoto mchanga!Asante mkuu ntazidi kupambana kila njia mpaka nishinde
Sawa mkuu japo sijaoa ntajitahid kuwakanda hivo hivoKwanza nakupongeza sana kwa kuachanana na unywaji wa pombe na uvutaji wa sigara,
Endelea kufanya mazoezi pia kama unavyofanya lakini pia kabla haujalala piga push up hata 50 kila siku usiku out of kucheza mpira tu
Lakini pia make sue unapata sex mara tatu kwa week ndugu yangu usingizi
Anavyokosa usingizi maana yake hajaacha pombe..bado anashawishika kugida.Ni kawaida sana ndo symptoms of Nicotine withdrawal !
Endelea na utaratibu wako wa kufanya mazoezi !
Pia zingatia ratiba yako ya kulala iwe ile ile kila siku utakua sawa ni suala la muda tu !
Pia tengeneza mazingira ya chumba chako yawe na ushawishi wa kulala !
Zuia matumizi ya Caffein mida ya jion na kulala mfano kahawa na hizo energy drink
Kula vyakula vya protein itakusaidia sana.
Hongera sio kazi ndogo kuukimbia uraibu.
habari wakuu. Weekend nyingine ya mwanzo wa mwezi february sasa.
mimi ni kijana (me) wa umri wa miaka 27 nilianza kuvuta sigara mwaka 2016 nikiwa advance.
NImevuta miaka sasa pamoja na kunywa pombe japo sikuwa addicted sana nilikua naweza kupitisha hata week bila kuvuta wala kunywa.
Lakini mwaka jana 2024 baada ya x mass niliamua kuacha kunywa pombe na kuvuta sigara nimefanikiwa sasa nina mwezi sijagusa pombe wala sigara.
Lakini napata tabu sana mchana najaribu ku keep busy na ikifika jion naenda mazoezi uwanjan napiga ball na aerobics nyingine ili kupunguza ashk ya kuludi nilipotoka.
Lakin hivi karibuni nimekuwa nakosa au napata usingizi kwa tabu na kwa kuchelewa sana huku nikiwa na hamu ya kuvuta. Hapo awali hadi mikono ilikua iktetemeka kama sijavuta. Lkn nilishinda hiyo hali sahivi nakosa usingizi.
Watu wa karibu ikiwemo jamaa na rafiki ndugu hawajui wala sijawai vuta mbele yao pombe at list walikua wananiona mara moja moja nikiwa nimechangamka
naomba ushauli ndugu wataalam wa afya na wengine ambao mlichukua maamuzi kama yangu kuacha hivi vitu ili nisiludi nilipotoka. Mtanisamehe kwa uandishi mmbovu
Ukiamua acha mkuu pigaba na hela yote mm imebaki usingizi ndio changamoto mwili kutetemeka uliachaKila jambo lina ugumu wake binafsi nilijotaidi kuacha mishangazi ulipita mwaka ivi mwanzo ilikuwa ngumu. Lkn mwishoe nilizoea kabisa ila isivyo bahati nimerudia tena mwaka huu.ko ushauri wangu kwa sasa pumzika tu kwa mda mkuu.