Nimeacha pombe na sigara lakini napata taabu sana, sipati usingizi hadi usiku wa manane

Pole mkuu unaweza kuamua sasa uache hata mara moja inasaidia tofauti na hapo ni porojo
 
Zidisha kumuomba Mungu yeye pekee ndo atakuepusha na hizo vitu
 
Hongeraaaa sanaaaa,,, sas fanya mambo yafuatyo yanaweza kukusaidia
Tengeneza juice ya vitunguu maji kisha Tia asali mbichi vijiko 2 piga glasi moja jioni kila siku kabla ya kulala.
Jitahid kila siku asubuh unapiga maziwa frshi yenye karafuu,, Zoez hili fanya pia kila unapohisi kuhitaji sigala basi piga maziwa fresh yenye karafuu,, asubuh maziwa yenye karafuu,, jion piga juice ya vitunguu maji yenye asali piga wiki moja uje hapa
 
Wewe huna tatiZo kabisa😀😀😀
Mwanangu kwa siku anamaliza pakt ya embassy mikono inanukia sigara tu😀😀
 
Usilale kabisa mpaka asubuhi nenda mishe zako kama kawaida usiku utaupata usingizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…