Nimeacha pombe na sigara lakini napata taabu sana, sipati usingizi hadi usiku wa manane

Leonce jr

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2023
Posts
1,815
Reaction score
2,651
habari wakuu. Weekend nyingine ya mwanzo wa mwezi february sasa.

mimi ni kijana (me) wa umri wa miaka 27 nilianza kuvuta sigara mwaka 2016 nikiwa advance.

NImevuta miaka sasa pamoja na kunywa pombe japo sikuwa addicted sana nilikua naweza kupitisha hata week bila kuvuta wala kunywa.

Lakini mwaka jana 2024 baada ya x mass niliamua kuacha kunywa pombe na kuvuta sigara nimefanikiwa sasa nina mwezi sijagusa pombe wala sigara.

Lakini napata tabu sana mchana najaribu ku keep busy na ikifika jion naenda mazoezi uwanjan napiga ball na aerobics nyingine ili kupunguza ashk ya kuludi nilipotoka.

Lakin hivi karibuni nimekuwa nakosa au napata usingizi kwa tabu na kwa kuchelewa sana huku nikiwa na hamu ya kuvuta. Hapo awali hadi mikono ilikua iktetemeka kama sijavuta. Lkn nilishinda hiyo hali sahivi nakosa usingizi.

Watu wa karibu ikiwemo jamaa na rafiki ndugu hawajui wala sijawai vuta mbele yao pombe at list walikua wananiona mara moja moja nikiwa nimechangamka

naomba ushauli ndugu wataalam wa afya na wengine ambao mlichukua maamuzi kama yangu kuacha hivi vitu ili nisiludi nilipotoka. Mtanisamehe kwa uandishi mmbovu
 
Hapo Cha msingi ni kupambana usirudi nyuma suala la kukosa usingizi huwa lipo tu sema litaenda litaisha
Jioni usifanye mazoezi makali maana nayo huchangia kukosa usingizi we tembea angalau kwa saa Moja Kisha pata kikombe Cha tangawizi na asali vijiko viwili utalala kama mtoto mdogo wa TID
 
Ni kawaida sana ndo symptoms of Nicotine withdrawal !
Endelea na utaratibu wako wa kufanya mazoezi !
Pia zingatia ratiba yako ya kulala iwe ile ile kila siku utakua sawa ni suala la muda tu !
Pia tengeneza mazingira ya chumba chako yawe na ushawishi wa kulala !

Zuia matumizi ya Caffein mida ya jion na kulala mfano kahawa na hizo energy drink
Kula vyakula vya protein itakusaidia sana.
Hongera sio kazi ndogo kuukimbia uraibu.
 
Nashukuru mkuu nitafanya hivyo maana usingizi mda mwingine unakuja saa 9 usiku kumekucha mda wote natumbua macho tu nakujisikia hamu kubwa ya kuvuta
 
Pongezi sana Leonce jr kuamua tu kuacha ni bonge moja la hatua kubwa usirudi nyuma addiction zinatesa jitahidi MUNGU akuongoze utayaweza yote katika yeye atutiae nguvu
 
Ni kawaida sana ndo symptoms of Nicotine withdrawal !
Endelea na utaratibu wako wa kufanya mazoezi !
Pia zingatia ratiba yako ya kulala iwe ile ile kila siku utakua sawa ni suala la muda tu !
Pia tengeneza mazingira ya chumba chako yawe na ushawishi wa kulala !

Zuia matumizi ya Caffein mida ya jion na kulala mfano kahawa na hizo energy drink
Kula vyakula vya protein itakusaidia sana.
Hongera sio kazi ndogo kuukimbia uraibu.
Nashukuru kwa ushauli mkuu nitafwata hayo yote mkuu Mungu akubaliki
 
Pombe hutakiwi kuacha ghafla, unatakiwa kuacha taratibu. Kunywa bia tatu kwa siku kwa muda fulani uraacha taratibu. Usiache pombe kizembe...
Mkuu nilijitahid kufanya hivyo lkn niliona muda unaenda tu na nikinywa pombe ndio nilikua napata mshawasha na kuvuta sigara so niliamua kuacha tu gafla siku za mwanzo nilikua kama mgonjwa mkuu
 
Back
Top Bottom