Nimeacha Rasmi Kutazama Mechi za Yanga NBC PL

Match Fixing wachezaji Hawasimami tu kama Milingoti au minara ya Simu Hivi kweli kichwani Wenyewe Wapo?
match fixing bongo zitakuwa zinafanywa na marefa

kama yule refa wa simba vs costal unioni alimaliza mpira baada ya kuona simba anaenda kufungwa

zile sasa ndo mechi matokeo yanapangwa
 
Jifunze kujibu hoja maana una maswali 100 katika mtihani wewe majibu yako ni matatu tu, "5imba" kufungwa mara nne mfululizo, "5imba" kufungwa goli 5 na "5imba" kucheza kombe la kina mama.
Hakuna hoja ya kujibu, ni kilio cha mbumbumbu tu
Yanga timu Bora imekufunga mara nne mfululizo, imefanya makubwa kimataifa, iweje ifanyie mechi fixing dhidi ya Mashujaa bro
Kuwa mwana michezo
 
Bahati Mbaya Unashabikia Mchezo bila kuhufahamu Mchezo Wenyewe inaonekana hujawahi kucheza hata kidogo Utotoni mkiwa mnatazama mpila Muwe Ushabiki mnauacha majumbani mwenu.
 
Acha kwani kunguni moja usipoangalia utaleta shida gani?
 
Hakuna hoja ya kujibu, ni kilio cha mbumbumbu tu
Yanga timu Bora imekufunga mara nne mfululizo, imefanya makubwa kimataifa, iweje ifanyie mechi fixing dhidi ya Mashujaa bro
Kuwa mwana michezo
Yanga imeingia hatua ya makundi msimu jana baada ya miaka zaidi ya 25 na ikaishia robo fainali, makubwa yapi hayo imefanya?
 
Yanga imeingia hatua ya makundi msimu jana baada ya miaka zaidi ya 25 na ikaishia robo fainali, makubwa yapi hayo imefanya?
Kuifunga Simba mara nne mfululizo sio makubwa? Kikiwemo kipigo cha goli 5
Kuchukua NBC na FA sio makubwa?
Kumpigia Kaizer Chiefs goli 4 sio makubwa?
 
Hiyo ni kwa mujibu wako Azam na Yanga azam alimweshimu yanga akapata Matokeo ya Ushindi Yanga na Tabora hali ndo hiyo hiyo kwa hiyo kukaa nyuma Hakuzui kucheza mpila na Kushinda mechi Haiwezekani Wachezaji wa Dodoma jiji Ghafla ionekane hawana viwango vya kupambana na Yanga Nilichogundua Ligi ya Tanzania kupanga Matokeo ni jambo Lahisi kuliko kunywa maji Marefa ,Viongozi Simba na Yanga Wachezaji Nao ndo Wale wale.
 
Kuifunga Simba mara nne mfululizo sio makubwa? Kikiwemo kipigo cha goli 5
Kuchukua NBC na FA sio makubwa?
Kumpigia Kaizer Chiefs goli 4 sio makubwa?
Hahah we jamaa. Kuna wakati wengine tunadhani majibu yako ni utani tu kumbe uko serious. Yaani unakuja kutamba kwa matokeo ya mechi ya kirafiki ya pre-season?

Umekariri majibu hadi umerudi kule kule kwa goli 5 kama nilivyotabiri.
 
Elezea mchezo
Timu giant kwenye ligi zipo
Ukienda German Bayern anafunga goli za kutosha
Ahly huko Egypt
Liverpool England
 
Kama Yanga Kila mchezaji akiweza kutoa uwezo wake kwa 80% hakuna timu itakayo fungwa Chini ya Goli 5.

Yanga Wana kikosi chenye wachezaji wenye vipaji vya hali yajuu akitofautiana na timu Nyingi za Ligi kuu.
Na pia wana Wachezaji wenye Umri wa Hari ya juu kabisa.
 
Penati za so called ni mapungufu ya referee, ambayo hutokea sababu uwezo mdogo, makusudi ya referee na sio timu pinzania. Ila huu uzi umejikita katika timu pinzani na sio wasimamizi wa mchezo ambayo in issue nyingine kabisa.
Kwani si timu pinzani(wacheza)ndio wanatoa hizo penalt za mchogo au huangalii mechi za Simba?
 
Hahah we jamaa. Kuna wakati wengine tunadhani majibu yako ni utani tu kumbe uko serious. Yaani unakuja kutamba kwa matokeo ya mechi ya kirafiki ya pre-season?
Kwaiyo kuifunga Simba mara nne mfululizo ni utani?
Kuchukua NBC na FA ni utani?
Kumbe Rage alikuwa sahihi kuwaiteni mbumbumbu
 
Kwaiyo kuifunga Simba mara nne mfululizo ni utani?
Kuchukua NBC na FA ni utani?
Kumbe Rage alikuwa sahihi kuwaiteni mbumbumbu
Majibu ya ngara23 katika mjadala wowote wa Yanga ni haya:
1. Yanga kumfunga "5imba" mara nne mfululizo
2. Yanga kumfunga "5imba" goli 5
3. Kumtaja Rage
4. "5imba" kucheza kombe la kina mama

Yaani unacheza humu tu.

Inaonyesha wewe ni wale wanafunzi maswali ya essay nina uhakika ulikuwa unakodoa macho tu au majibu yako ndiyo yale ya "poor infrastructure....."
 
Toa majibu acha kulia hapa
Yanga bingwa
 
Kwa hiyo kumbe lawama ni kwa wachezaji, siyo tena kwa marefa? Hahah
Refa ndio wa kwanza mzee, hii mipango inahusishwa watu wengi, mtoa mada kaniquote na kuwataja marefa ila kiukweli hata timu pinzani(wacheza) wapo kwny huo mchongo!
 
Naona Mkolo vijana wa Rage mmeanzaa kutokaa kwenye mashimo ya panya mlikiwa mmejificha.
Na bado yani kila mmoja atakuja na milioo yakee lazimaa muwe mmenena kwa lughaa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…