Nimeambiwa ninenepe kidogo ili anikubalie. Naombeni mbinu za kuongeza mwili

baadaye ukishindwa kula tunda kwasababu ya unene ataanza tena ooh umenenepa sana ooh sijui nini, shtuka wewe hakuna love hapo
 
Baada ya kunenepa atakwambia una kibamia hapendi wanaume wenye vibamia ndio utajua haujui
 
Stress za mwenye ndoa zikikukondesha si atakubwaga huyo?
 
Huo ujinga utaujutia sana.
 
Kula mishkaki ya nundu kwa mwezi mmoja utaleta mrejesho! Hakikisha unaila na ugali wa nguvu mida ya usiku!

Asubuhi piga supu daily na vyapati vyapati!

Mchana kula chips mayai + Kuku wa kukaangwa!

Fanya hii Diet kwa mwezi tu kisha utaleta mrejesho
Kipato kinaruhusu mkuu?
 
Nenda kale ile mishikaki ya 100 pale msamvu moro KWA mwezi mmoja
Hakika utakuja kunishukuru
 
Kunenepa kunaleta marazi kama pressure.. So ukishanenepa afu ukagundua kuna vibishoo vyembamba vinamla.... Pressure inakuua.. Ila sio mbaya lengo lako linakua limetimia coz umetaka hata akuue
 
Yeye anatakaga wanene๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Kuna wanawake hawapendi vijamaa vilivyonyooka kama miwa ๐Ÿค“๐Ÿค“๐Ÿค“ wanatumaind sie wenye vitambi vya kufutia simu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ