chipolopolo 2
JF-Expert Member
- Nov 10, 2014
- 3,292
- 1,841
Nimeumia sana naomba Mwenyezi Mungu amponye
Haufi nakuambia haufi, kuna mtu mmoja aliwahi kuambiwa hivyo na doctor kwa kuwa aligundulika kuwa na cancer, akiwa mdogo sana, hata 30 years alikua hana. Akaambiwa hatamaliza miezi sita.
Matokeo yake aliishi hadi akahudhuria mazishi ya yule doctor na mpaka sasa ana miaka 70+ anaendelea kula maisha
Hakuna binadamu mwenye uwezo wa kumwambie mwenzie atakufa lini, Mungu ndie anaejua mtu atakufa lini na ndio maana hata ambao hawaugui hufariki, watoto wazima kabisa hufariki.hakuna kitu kama hicho...usimdanganye mwenzio..hawezi kupona huyo
Jaribu kunywa chai ya mlonge yaani mlonge iwe ndiyo majani ya chai. Kunywa mara tatu kwa siku au zaidi. Kuifanya inoge ongeza mdalasini na pilipili manga (vyote viwe vya unga). Pia tengeneza juice ya majani ya mstafel au tunda lenyewe. Hii miti inatibu cancer. Unaweza kugoogle kujua zaidi. You have nothing to loose. Jaribu.Ripoti ya daktari inasema baada ya miezi 4 nitakufa kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4.)
Kwa hiyo miezi minne ijayo nitaweza kuona kile marehemu wanachoona sijui kufa kunaumaje?
Juzi nimepita kando ya makaburi nikaishia kutabasamu tu nilipogundua next 4 month nitafukiwa chini alafu watu watawanyike waniache pale nikiwa shimoni mwenyewe, upweke utakuwa mkubwa mno.
Nikiwa kijana kindakindaki wa miaka 28 tu nafukiwa ardhini. Masikitiko.
Pia soma > Atakayenisaidia hili nitampa Tsh milioni moja taslimu
Bye bye Mother earth.
Yaani nashindwa hata cha kuandika Dah!! Mungu huyu ila hamna namna tumuachie yeye tuu nisije kufuru ila nikuambie tuu usijali kwakuwa sisi wote hata mm ninae coment hapa tupo njiani tunaelekea huko na hatujui siku wala saa pengine tupo tutakao chelewa au tutakao wahi zaidi yako hatujui lakini lazima tutakufa tuu no way out!! I[emoji24] [emoji24] [emoji24]Ripoti ya daktari inasema baada ya miezi 4 nitakufa kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4.)
Kwa hiyo miezi minne ijayo nitaweza kuona kile marehemu wanachoona sijui kufa kunaumaje?
Juzi nimepita kando ya makaburi nikaishia kutabasamu tu nilipogundua next 4 month nitafukiwa chini alafu watu watawanyike waniache pale nikiwa shimoni mwenyewe, upweke utakuwa mkubwa mno.
Nikiwa kijana kindakindaki wa miaka 28 tu nafukiwa ardhini. Masikitiko.
Pia soma > Atakayenisaidia hili nitampa Tsh milioni moja taslimu
Bye bye Mother earth.
Nimerudia kusoma ulichoandika mara nyingi sana kama kuna sehemu nshawahi kukusikia ukitoa speechDuh! Pole sana mkuu! Nimesikitika ila ngoja nikwambie hivi;
Kwamba unapaswa kujua we are divine energy..sisi sio huu mwili sisi ni roho hivyo iandae roho yako kupata pumziko la milele na watu wengi walio experience near death situation wanaelezea how wonderful it was..maana kifo sio process bali its the state of changing from physical state kwenda spiritual blissful state yenye raha isiyomithilika we unadhani kwanini Mungu haishi mwilini na anaishi rohoni? Huku mwilini kuna uchafu na maumivu nenda tu into the real immortal part...the truest of all.
Kufa sio adhabu its the must process kwa kila kiumbe na hakuna maumivu kwani maumivu yako mwilini pekee sababu ya nerve, brain, neurons e.t.c but unaumiaje rohoni? Unaumiaje ubongo ukicease kufanya kazi? Haumii kabisa,Trust me!
Death is painless ndugu.
Tangulia mkuu, tunakuja!
Candle in the wind.
Love you folk
I learned a lot from you bro......you have a great mindNilishaumwa sana kaka. Maisha yangu yamekuwa ya mateso mno hapa Duniani, Nikapumzike tu.




Ripoti ya daktari inasema baada ya miezi 4 nitakufa kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4.)
Kwa hiyo miezi minne ijayo nitaweza kuona kile marehemu wanachoona sijui kufa kunaumaje?
Juzi nimepita kando ya makaburi nikaishia kutabasamu tu nilipogundua next 4 month nitafukiwa chini alafu watu watawanyike waniache pale nikiwa shimoni mwenyewe, upweke utakuwa mkubwa mno.
Nikiwa kijana kindakindaki wa miaka 28 tu nafukiwa ardhini. Masikitiko.
Pia soma > Atakayenisaidia hili nitampa Tsh milioni moja taslimu
Bye bye Mother earth.
Shukran....Elli...Pole Sana aisee, ni kweli, tumebeba mizigo mizito Sana, wakati mwingine tunalemewaaaa. Kila mmoja ana jambo ndani ya moyo wake kama alivyowahi kusema R. Kelly "Within all of us there is a storm but he who has faith in heaven will weather any storm"
Mkuu wengi mnapenda Yesu wa kukutana haye lakini cyo wakuondoka naye, yaani mnapenda kuombewa cyo ninyi mmpokee yesu maishani mwenu muishi naye mtembee naye, muishi ndani yake naye ndani yenu, tubu dhambi zako muishi maisha ya utakatifu utembee na Mungu hayo maginjwa na maswaabu itakuwa in historia kwako, wachawi na mapepo n takataka.waebrania 2:14-16, hataa mm nbnafs before nili suffer sana, bat nau namshukuru Yesu aliyeniokoa.