Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,669
- 33,691
pole,i suggest uwe karibu na Mungu ,fanya sala,tubu
itakupa Amani,hasa ukzingatia kuwa siku zote za uhai wetu tunaambiwa kwenye dini mwisho wetu ni kifo na baada ya hapo ni hukumu,
so, ninamaanisha ukisali na kuwa karibu na Mungu itakuondolea ''personal conflict''...,kuwa hutendi yanayompendeza Mungu,hivyo kuogopa siku zako za mwisho kuwa zitakuwaje?