Nimeambiwa nitafariki baada ya miezi 4 kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4)

Nimeambiwa nitafariki baada ya miezi 4 kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4)

Status
Not open for further replies.
KASEMA WAFARIJI,WHATS WRONG WITH YOU?
Huyo hajui risk factors and causes of pancreatic cancer kichwa chake kinawaza kuf*r* watu wengine sijui wakoje. Ndugu yangu ameonekana kakata tamaa, 28 yrs kuondoka imemsononesha sana bila kuangalia watu wangp hufariki kwa ajali tena hawajajiandaa. Suala moja tu amtegemee Mungu na aikatae Roho ya mauti. Mimi ni daktari, Ila nna imani pia ya kimungu nishashuhudia jinsi gani watu wengi wanavyoondoka kwa cancer mbalimbali na wengi wao huwa wamepoteza tumaini. Jifunze kwa mtume Petro alipomwona Bwana Yesu akitembea juu ya maji alimwomba naye pia afny hivyo. Ila alipoanza kutoa shaka akaanza kuzama, nikuombe ndugu ni muda wa kujikabidhi kwa Mungu 100% akusamehe dhambi zako zote ili uwe na tumaini jipya.
 
Dah pole bro..ila ndo njia yetu sote kaka sisi ni wa mavumbi tu
 
Folk tafadhali teua kabisa na mtu wa kutupa mrejesho hapa jeff swala la kifo ni suala nyeti ila usijali ni kuwah tu nyuma wote tutakuja inshaalah mi naamini upo siriasi
 
Nawashukuru wote kwa moyo wenu mwema wa kumsaidia ndugu yetu. Nashauri kama uwezo wake sio mkubwa sana basi aende SCOAN mwenyewe bila kupitia kwa agent ambapo gharama itakuwa ndogo sana.

Mfano kama atasafiri 24/05/2018 na kurejea 29/05/2018 kwa ethiopia Airline gharama zitakuwa kama ifuatavyo

1. Air Ticket (Return Ticket) 398.00 USD
2. Visa Tshs 120,000
3. Kwenda na kurudi JNI alau 60,000
4. Ghrama zote kule Lagos (Usafiri, Malazi na Kula kwa siku 5) alau Usd 200

Ninaweza kumuunganisha na Member wa SCOAN ambaye pia ni Tax driver aitwa Francis. Number yake ya whatsapp ni +2348037270038, ni mtu mwaminifu na muungwana sana.

Ahsante

Asante kwa kumshauri. Hata mimi nimempa ushauri huo huo. Ila gharama ulizomtajia ni kubwa sana. Sidhani kama zimefika huko. Mara ya mwisho mwaka jana (July 2017) nilikwenda mwenyewe kuulizia kwa wakala pale opposite na Mbezi Beach secondary niliambiwa shilingi za Kitanzania milioni mbili na laki sita (2,600,000/=). Sasa hiyo rate uliyompa wewe ukibadilisha kwa shilingi ya Tanzania inakaribia shs 6,500,000/=. Namshauri aende pale Mbezi Beach Secondary, aonane na yule mama kiongozi wa kituo. Ni mama mwaminifu sana na hata TB Joshua anamkubali na kumtumia pia kusambaza annointing water, vitabu n.k. Pale atapata na maombi na gharama zote ikiwa atahitaji kwenda kwa TB Joshua.
 
Kwanza pole sana kwa ugonjwa. Kwanza mtumaini Mungu kuwa ni muweza ya yote. Lakini la pili, hizo dawa ambazo umesema ni ghali sana ni shilingi ngapi?
 
Kwanza pole sana kwa ugonjwa. Kwanza mtumaini Mungu kuwa ni muweza ya yote. Lakini la pili, hizo dawa ambazo umesema ni ghali sana ni shilingi ngapi?
Mkuu naomba folk aune hii comment ingawa iko mbali.Mungu ni mwema siku zote.
 
Mwanasayansi Stephen Hawkins alipopata tatizo la kupooza madaktari walimwambia hawezi kuishi zaidi ya miaka miwili enzi hizo akiwa na miaka 22! Amefariki juzi akiwa na miaka zaidi ya 70!
Have faith, it will heal you!
Au hata ukifa, duniani siyo makazi yetu, roho zetu zitarudi kwa baba yetu mbinguni. Uwe na amani brother.
 
Nawashukuru wote kwa moyo wenu mwema wa kumsaidia ndugu yetu. Nashauri kama uwezo wake sio mkubwa sana basi aende SCOAN mwenyewe bila kupitia kwa agent ambapo gharama itakuwa ndogo sana.

Mfano kama atasafiri 24/05/2018 na kurejea 29/05/2018 kwa ethiopia Airline gharama zitakuwa kama ifuatavyo

1. Air Ticket (Return Ticket) 398.00 USD
2. Visa Tshs 120,000
3. Kwenda na kurudi JNI alau 60,000
4. Ghrama zote kule Lagos (Usafiri, Malazi na Kula kwa siku 5) alau Usd 200

Ninaweza kumuunganisha na Member wa SCOAN ambaye pia ni Tax driver aitwa Francis. Number yake ya whatsapp ni +2348037270038, ni mtu mwaminifu na muungwana sana.

Ahsante
Ajaribu na Hawa wa India Cancer Treatment Hospital in India | Oncology Treatment India
 
Folk tafadhali teua kabisa na mtu wa kutupa mrejesho hapa jeff swala la kifo ni suala nyeti ila usijali ni kuwah tu nyuma wote tutakuja inshaalah mi naamini upo siriasi
Watu wengine mna kejeli na kujiona kifo kiko mbali na ninyi! Ndugu kejeli yako inaweza kugeuga mauti yako.
 
Kila nafsi itaonja umauti,ni suala la muda tu..hata hivyo hupaswi kukata tamaa..anayejua utakufa lini ni Mungu pekee..kuwa na imani!
 
Kwa uwezo wa ALLAH unaweza fika hata mwaka napengine huyo alokwambia yeye akakuach dunian
 
Duh! Pole sana mkuu! Nimesikitika ila ngoja nikwambie hivi;

Kwamba unapaswa kujua we are divine energy..sisi sio huu mwili sisi ni roho hivyo iandae roho yako kupata pumziko la milele na watu wengi walio experience near death situation wanaelezea how wonderful it is..maana kifo sio process bali its the state of changing from physical state kwenda spiritual blissful state yenye raha isiyomithilika we unadhani kwanini Mungu haishi mwilini na anaishi rohoni? Huku mwilini kuna uchafu na maumivu nenda tu into the real immortal part...the truest of all.

Kufa sio adhabu its the must process kwa kila kiumbe na hakuna maumivu kwani maumivu yako mwilini pekee sababu ya nerve, brain, neurons e.t.c but unaumiaje rohoni? Unaumiaje ubongo ukicease kufanya kazi? Haumii kabisa,Trust me!

Death is painless ndugu.

Tangulia mkuu, tunakuja!

Candle in the wind.

Love you folk

What a nice message? this is so true and helpful kwa Mhusika
 
Pole sana kwa matatizo ndugu, nahis umekosa matumaini ya kuishi, Tambuwa pale unapokosa msaada, umekata tamaa hapo ndipo Nguvu za MUNGU zinaanza kuonekana. Kumbuka kwenye kitabu cha Daniel kulikuwa na Hawa vijana Shadraka, Meshaki, na Abednego. Walikataa kuitii amri ya mfalme lakini uwezo wa Mungu ulikuja kuonekana baada ya kuingizwa kwenye tanuru la moto, wameingizwa kwenye tanuru watu 3 lakini wanakuja kuonekana 4. Hakuna mtu ajuwae siku wala saa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom