Nimeambiwa nitafariki baada ya miezi 4 kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4)

Status
Not open for further replies.
ila mtu ukijua siku yako ya kufa raha sana,, na ukienda motoni utakuwa ni mzembe,,
mfano ukijua imebak miez minne unakula bata la kufa mtu kwa miezi miwili alfu miwili itakayobakia ni mwendo wa ibada tu kukesha msikitin au kanisani na kutoa misadaka
Aisee!!!
 
i lost my friend nilisoma nae shaaban robert anaitwa Patrick Kibwana alifariki tarehe 22 June mwaka huu kama sikosei . Age 28 alikuwa na amefariki kwa Cancer ya Kongosho sasa sijui huu uzi ni wa nani . but i miss kaka yangu bestie yangu wa darasa Patrick Kibwana. forever love bro . love u
 
Siku kaleta uzi wake nakumbuka tulikuwa tunajibizana nae why sikumuomba namba yake hata kwa kumbembeleza pm?! Poor witie I feel guilty![emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji86] [emoji86]
[emoji23] basi ngoja ncheke tuu hata kama inasikitisha ... Ila wit bwana ...
 
Sio kweli, mimi wazazi wangu wote 2 niliandaa mazishi yao wakiwa wazima tunaongea. Baada ya kuambiwa na dr. Kuwa wana chini ya siku10 za kuishi. Wote walikufa katika mda uleule ambao dr. Alisema
Eeh[emoji33] [emoji33] [emoji33] pole aisee
 
Maisha ya mtu yanapangwa na mungu naamini guy he is still alive God bless him
 

Huna haja ya kusikitika comrade...wote tupo nijiani...unatangulia tu...
 
Mmmh au ndio huyu folk?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…