HOPECOMFORT
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 3,926
- 6,671
Acha kuangalia last seen via app haisemi ukweli tumia browser ndio inasema ukweli.Huyu mtu mbona yupo active humu..... Last seen yake ni muda huu.... Au kuna mtu anae tumia Id yake. .....folk.... Sema kitu kama unapita hapa bana.... Ebu ona hizi rip hapa!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapi kasema?Uzi naona uliwekwa April, 2018 na leo ni August, 2018. Sasa cha ajabu ni kuwa umekuja tena na maneno kuwa huenda ukafikisha miezi 8. Pole sana, ila kidume usikate tamaa ya kuishi. Wala hayo maumivu siyo ya kukuua bali kukufanya umtafute Muumba wako zaidi. Ningelitamani kifo cha jinsi hiyo ili nipatane na Mungu kwani najua sasa naiacha dunia niende kwingine na huko kuna uchaguzi. Upatane na Muumba uende kwake au umkatae uende kuzimu.
Yoh. 14:6 anasema; Mimi ( Yesu) ndiye njia, kweli na uzima. Mtu haji kwa Baba (Peponi) ila kwa njia ya mimi(Yesu Kristo). Hakuna nabii mwingine yeyote aliyesema hayo ila huyu mmoja tu. Mwamini yeye uende unakojua yaani mbinguni aliko.
Hii inaonesha current timeNaamini kijana bado yupo hai, maana forum inaonyesha ame access hiki kijiwe siku ya leo.
Keep fighting solder!!
View attachment 837767
Aseee kuna watu unaweza jiuliza kuwa huyu ni binadamu wa kawaida au mzazi kanyaaa tuu![emoji15] [emoji15] [emoji15] Watu tuko serious hapa jitu linaongea umavi mavi tuu
Kutokana na post yake ya nyuma nahisi pia katokea mwanza na sio dsm kama huyo Patrick... Au nisaidiwe kama nakosea LabdaNimepitia nyuzi za folk sijaona uhusiano wowote na jina la Late Patrick Kibwana.
-Kwenye uzi wa Folk taarifa fupi amesema yeye ni mtoto wa mwisho kati ya familia ya watoto sita na ana miaka 28.
Tafakuri:-
Profile ya Patrick Kibwana walikuwa wanamwita Biggy wakati Folk mwenyewe anasema kwamba amekonda sasa kwa tatizo alilokuwa nalo na amenaza kuwa na matatizo hayo tangu akiwa na miaka 9 maana amezaliwa kwenye familia ya kimaskini.
-Moja ya melezo Patrick alisoma Visiga seminary na Shaaban Robert,kwa familia hizi za kimasikini ni ngumu kuweza kusoma Shaaban Robert ila Folk alisema familia yao ni ya kimasikin.(inawezekana labda alilipiwa na wafadhili)
Nani aliyeunganisha Late Patrick Kibwana na Member Folk?
Kwenye mitandao watu wanaunga unga sana,nakumbuka Ubaoni Efm walishawahi kuleta story ya jamaa kupewa zawadi ya harusi picha za mkewe akiliwa Tigo baada ya mda watu wakemuweka Bibi harusi na huyo mme bandia akatrend kweli kweli kumbe hata sio wao.Kutokana na post yake ya nyuma nahisi pia katokea mwanza na sio dsm kama huyo Patrick... Au nisaidiwe kama nakosea Labda View attachment 842431
Sent using Jamii Forums mobile app
Simkumbuki vizuri ila nadhani huyo atakuwa ni nyigu tu
VarmaSimkumbuki vizuri ila nadhani huyo atakuwa ni nyigu tu
Nikweli kabisa maana jambo hili linatupa shida sanaaaaDuuh jamani hapa ndo unakuja umuhimu wa kuwa na friend hata wawili wanaokufahamu. Shida sasa ukishajulikana hautakua huru tena kutiririka ila faida ni kama mauti yakikukuta tunajua ni nani