Nimeambiwa nitafariki baada ya miezi 4 kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4)

Status
Not open for further replies.
Exactly Mkuu... Ni wachache sana hupata hii nafasi kikubwa apumzike kwa amani Folk
 
Aisee inaumiza mods waangalie namna ya kuuboresha hii uzi tena ikibidi kama kuna taarifa za ziada ziwekwe iwe kama sehemu ya kumuenzi huyu member mwenzetu
 
Mungu akulaze mahali pema Kaka, umekufa kifo kizuri sana kwakweli Mungu amekupendelea kwakupa hata nafasi yakusema kweheri
 
Hata Kama Ni kweli inapaswa tu umshukuru Mungu kwa kila Jambo maana wengine hufa kwenye ajali au ghafla bila hata kuumwa ,kwa hivyo kufa kupo mkuu ,umepata hata Muda wa kusamehe waliokukosea wengine wengi huwa hawapati huo muda ,mshukuru Mungu
 
Duuh apumzike kwa amani[emoji22][emoji22][emoji22]
 
Nimesoma hii thread dah inauma sio siri. Sote tuna njia moja tujitafakari kwa kila tulitendalo tusijisahau maana mudawetu duniani ni mchache tuendako kuna makazi ya milele yenye tabu kwa waliomkosea mungu na kuwakosea binadamu wenzake pia kuna raha kwa aliemfurahisha mungu na kutenda yalio mema.
RIP FOLK
 
Izo R.I.P mnazompa mtu ambaye bado hajakufa mnamaanisha nin wadau...

Kwani uyo aliyesema yeye ndio mtoa roho... Usikute mwana akatoboa mpaka uzeeni...

Madoctor wa kibongo sio wa kuwaaamini .

Mwamba bado tunae tunaweza tukafa sisi kabla yake... Au mnapenda tu kuwishi.


Ngojeni afe kwanza.... Msilete gundu.
Mwana anatoboa mbooona.
 
Aiseeee
 
Aiseee
 
Unaweza kuwa msomaji tu sometimes ,utaelewa kitu kabla ya kutoa mchango wako.vinginevyo unajikuta unachangia kitu chenye ukakasi.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…