Nimeambiwa nitafariki baada ya miezi 4 kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4)

Status
Not open for further replies.
Member Folk ukimsoma vizuri alisema ni masikini tu ili kujitenga na majivuno

Masikini angetangaza dau la milioni?
 
Hekima
 
Umewahi kuishi Njombe?
 
Jaribu kuja kanisa la korogwe Kkkt hapa kwa mvhungaji mastay anaombea sana hizo kansaa utapona nakuhakikishia na hutatoa ata sh kumii wala hutakufa, pole sana kwa maumivu kuwa tu na imanii Mungu ndio mponyaji
 
Korogwe ipi

Kwanza huyu jamaa sijui kama yupo maana ni uzi wa mwaka jana huu
R.I.P
 
Jamaa alitengeneza kamradi safii kakupata hela
Unfortunately enough, Folk hakuwahi kuomba hela, msaada wala mchango wowote kuanzia matibabu yake hadi kifo chake.

Hivyo, kwa mtu mwenye credibility kubwa hapa JF kama wewe kuibuka na allegations na accusations kama hizi kumhusu marehemu inasikitisha saana.

Muombe radhi marehemu.
 
Kwani kafariki?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…