Nimeamini masharti ya marehemu wakiyasema kabla ya kukata roho

Ninayoikumbuka kuna mzee alisema sitaki siku ya kunizika mfanye mbwembwe kama sherehe kutokana na uwezo wa kifedha wa ile familia. Alisema anataka azikwe simple sio mambo ya vyakula, pombe n.k...
Wanafamilia waliuchujuaje mwili wa asiekua ndugu yao,Ndio kusema maneno ya mzee wao yalitimia kwamba wasiweke mbwembwe kwenye msiba?
 

Hee[emoji15][emoji15]
 
pia njia nyingine ya kuwabeba marehemu wasumbufu wenye masharti ni kwamba wakati wa kusafirisha maiti miguu itangulie mbele na kichwa kiangalie gari inapotoka - kwisha habari.
 
Duuuhhhhh...!!! Hiyo ajali nimekutana nayo hapo Chang'ombe jana; wakati napita tu ndo ilikua imetokea hapo hapo. Ajali ilikua mbaya sana aisee.
 
Mwezi wa sita tulizika mzee mmoja Moshi ili hali yeye alitaka kuzikwa Dar es ssalaam hakuna kulichotokea
Siku zingine uwe na Akili nimeshasema hapo juu kuwa ni 85% na hiyo 15% inaweza isitokee sasa tatizo lako ni lipi hapa?
 
Hivi Dar unaweza pata jiwe kweli[emoji848]
 
pia njia nyingine ya kuwabeba marehemu wasumbufu wenye masharti ni kwamba wakati wa kusafirisha maiti miguu itangulie mbele na kichwa kiangalie gari inapotoka - kwisha habari.
Kuna Mwenzako kasema vice versa ya hiki ulichosema hapa sasa tumuamini nani labda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…