Ni safari ya muda wa miaka 4 ktk kupata uzoefu wa biashara ila kuipata hiyo 100+ ilikuwa ktkt ya mwezi wa 9 hadi 11 mwaka jana... Ni Mungu tu aliamua kunifungulia milango ktk kazi mzunguko ukawa mkubwa nilikuwa napata faida hadi M10 kila baada ya siku 3 hadi 5Tupe uzoefu wako mpaka kufikia hapo
Broe Nafaka inatakiwa uchanganye Mazao na usome upepo Kwa Msimu husika na ufanye Kwa mwrndelezo at least miaka mitatu ndio utaona matunda yake Kwa huo mtaji Kwa misimu Mitatu lazima utakutana na Mazao ya kupasua mara mbili Hadi tatu, Kila kitu kinahitaji muendelezo ila watu hawana uvumilivu , Success ni matunda ya kufanya kitu Kwa consistency ndio utaona matunda.Hizi habari kuhusu nafaka huu ni nzuri kwenye kuandika ila kiuhalisia ni tofauti kabisa ukiingia kwenye gemu lake
Noma sana aisee,yaan wakati sisi wengine ml 10 unaitafuta ndani ya miezi sita/zaidi tena kwa kukomaa kwel kweli[emoji23][emoji23]...halafu mtu ndani ya siku tano kainyaka daa[emoji3]Ni safari ya muda wa miaka 4 ktk kupata uzoefu wa biashara ila kuipata hiyo 100+ ilikuwa ktkt ya mwezi wa 9 hadi 11 mwaka jana... Ni Mungu tu aliamua kunifungulia milango ktk kazi mzunguko ukawa mkubwa nilikuwa napata faida hadi M10 kila baada ya siku 3 hadi 5
Wengine wanataka uwekezaji wenye liquidityKuweka Milioni 56 kwa miaka 10 ndo upate milioni 100 ni uwoga wa maisha nakukosa ushauri wa kijasiriamali. Hizo hela akiiwekeza kwenye kilimo cha Zabibu au Miti ya Mitiki (kule Nyasa na kilombero) au Pines au cyprus kule Njoimbe na Ludewa baada ya hiyo miaka 10 anafikiria kushika Bilioni 1.
Yeah inategemeana na biashara unayoifanya wapo wanaopata kwa wastani huo kila mara ni mambo ya timing tuNoma sana aisee,yaan wakati sisi wengine ml 10 unaitafuta ndani ya miezi sita/zaidi tena kwa kukomaa kwel kweli[emoji23][emoji23]...halafu mtu ndani ya siku tano kainyaka daa[emoji3]
UlizipatajeNamshukuru Mungu nimebahatika kuishika M100+ kabla ya kufika miaka 30.
Wabhejah!Hujaelewa point yangu ukakimbilia kujibu pumba kwa kiingereza cha kisukuma.
Mbuzi wa maskini hazaiHongera broo!mi mwenyewe napambana kusave ila ikifika laki tu kila tatizo linaitolea macho 🥺🥺🥺🥺
Uko sahihi ukiondoa mafisadi wa chama kubwa the rest ni Hand to Mouth tuNi 0.1% ya watanzania wenye kuwahi kumiliki 100m kwa cash ni 5% ya watanzania wana miliki assets ambazo zinaweza kuwapa 100m.......95% ya watanzania ni hand to mouth economy. Hi mada hapa sio mahara pake.
Hata ukiwa na million 2 tayari wewe ni millioairesTafuta hela ndugu yangu. Records zinaonyesha kuna millionaires zaidi ya 2300 Tanzania.
Onhooo😂😂😂😂 aya bossHata ukiwa na million 2 tayari wewe ni millioaires
100,000,000÷10,000=10000Kwa hyo milioni mia(100) ya mwaka 2010 ni sawa na mifuko mingap mwaka 2024 mkuu
Naona umepitiwa, najua unajua hesabu. $1m ni Tzs 2.5b nakuhakikishia Watanzania wengi hao unaoita Wamakonde, Wasukuma wana mali za thamani hio. Na hio figure ya watu 2400 wenye $1m ni kidogo kwasababu Watanzania wengi hawako kwenye mfumo ambao unaweza kuwahesabu kujua mali zao.Duh hiyo sio cash ni assets worthy manaake wengi ni wahindi na waarabu wenye mashirika viwanda mashamba makubwa, huwezi kumpata mmakonde au msukuma na hizo mali $1m ambao ni sawa sawa na 25bn Tz shilling.
Uko sahihi mkuu.Ni 0.1% ya watanzania wenye kuwahi kumiliki 100m kwa cash ni 5% ya watanzania wana miliki assets ambazo zinaweza kuwapa 100m.......95% ya watanzania ni hand to mouth economy. Hi mada hapa sio mahara pake.
Njoo kwenye biashara ya madini bro Yani ndani ya nusu au mwaka mzima utakuwa na MIL 100 na zaidi kama utakomaa na kuvmilia zaidiHabari wakuu,
Kiukweli kwenye haya maisha sio lazima ufundishwe kila kitu. Kuna wakati unafika unajaribu kupambana na kulifanya jambo fulani ndipo unakuja kujua mtu mwenye mafanikio ni wa kumheshimu sana. Ml 100 kwa kuzitamka zinaweza kuonekana ni pesa kidogo sana but in reality kuna baadhi ya wafanyakazi wanastaafu na hawajawahi fikisha kiwango hichi cha pesa.
Nimepambana kuinvest kwa upande wangu nimeamini kuwa na kiwango hicho cha pesa yataka moyo. Now mimi nimefikisha 56ml as cash na nimeinvest UTT.
Je, wenzangu mliofikisha kiwango hicho cha pesa mlifanyeje, na kwa muda gani? Tupeane uzoefu
Mimi peke yangu ndio nimekuelewa.Ndugu yangu, unatafuta pesa au maisha mazuri? Omba Mungu akupe maisha mazuri. Utajiri utakusumbua. Ila hamwezi kunielewa.
Hivi kumbe kuna Watanzania wanamiliki meli zaidi ya Azam na serikali?Mafanikio huanzia rohoni.
Inategemea biashara zako,kazi,kilimo na mifugo.
Mimi kuna nyakati nilikuwa 0 lakini huyu Mungu ni FUNDI sasa namiliki meli kubwa za mizigo.
Yeah ni hesabu za nadhariaHizi habari kuhusu nafaka huu ni nzuri kwenye kuandika ila kiuhalisia ni tofauti kabisa ukiingia kwenye gemu lake
Life is not fairHabari wakuu,
Kiukweli kwenye haya maisha sio lazima ufundishwe kila kitu. Kuna wakati unafika unajaribu kupambana na kulifanya jambo fulani ndipo unakuja kujua mtu mwenye mafanikio ni wa kumheshimu sana. Ml 100 kwa kuzitamka zinaweza kuonekana ni pesa kidogo sana but in reality kuna baadhi ya wafanyakazi wanastaafu na hawajawahi fikisha kiwango hichi cha pesa.
Nimepambana kuinvest kwa upande wangu nimeamini kuwa na kiwango hicho cha pesa yataka moyo. Now mimi nimefikisha 56ml as cash na nimeinvest UTT.
Je, wenzangu mliofikisha kiwango hicho cha pesa mlifanyeje, na kwa muda gani? Tupeane uzoefu
Tuache kujifariji.Mimi peke yangu ndio nimekuelewa.
Kuna matajiri fulani nawafahamu usiku hawalali kwenye nyumba zao kwa kuhofia kuwa wanawindwa na maadui pamoja na majambazi,wanawaacha wake zao nyumbani kisha wao wanakwenda kutafuta vijiwe vya kujifichia.
Kuna wengine inabidi wawaajiri mabodigadi wa kutembea nao kila mahali kwa ajili ya hofu.