Nimeamini ukiwa mwanamke umetulia huna mambo mengi ndio unapata wanaume wasioleweka na matapeli

Sawa.. mahusiano yajayo ni kuomba hela tu
 
Tatizo lako singo maza...
Wanaume kataeni ndoa ni upuuzi ushamba uoga utoto usengerema ushenzi ushetani umasikini...
Mwanamke ni chombo cha starehe zalisha tupa kule
 
Tatizo lako singo maza...
Wanaume kataeni ndoa ni upuuzi ushamba uoga utoto usengerema ushenzi ushetani umasikini...
Mwanamke ni chombo cha starehe zalisha tupa kule
Wawafanyie dada zako kwanza
 
Hiyo si mpya, ndyo tulivyozaliwa, tabia hii inasomeka kwenye vinasaba vyetu
 
Picha yako tafadhali,tuone kama itaendana na majina mazuri unayoyahitaji
Sijasema aniite majina mazuri maana hata mimi simwiti si angalau angenisave majina yangu halisi kama yake nilivyoyasevu
 
Sikiliza sister usibadili tabia nzur na uwe mbaya hapana, kosa lako liko hapa, wewe unajifanya mwema kwa mwanadamu lkn wewe si mwema kwa Allah Muumba wetu, now kuwa mwema kwa Allah Kisha kwa watu na hautojuta, Kwanza Muabudu Muumba wako, pili usifunue mapaja Yako matamu kwa mtu yeyote mpaka uhakiki Nia yake, na wewe kumhakiki Nia yake ni kasi yake ya kutamani kukuoa na hataki kukukosa, usijidanganye ukimnyima atakukimbia, wanawake jueni mwanaume anyekupenda anatamani kukumiliki jumla uwe wake na si vinginevyo, ishi kama huwashwi hata kama unawashwa jizuie, ukifaulu hapo kazi yako itakuwa ni kuchuja anayekuja anataka nini, na sera yake ni ipi, usikubali kuchunguzana kwani mnapochunguzana ndipo unatumika kireja reja mwisho unaachwa, tulia watakuja watu wazur japo itachukua mda, hakuna kitu kizur kisicho na gharama na miongoni mwa gharama ni kuvuta Subira, mambo Yako mengi ya kukueleza lkn zingatia Ibada, kigezo kikubwa kabisa usitoe penzi bila ndoa, na hapo utakuwa mwema kwa Allah, Kisha aliye mwema atakuja hapo, mambo ni mengi naishia hapo Zingatia kuwa mwema kwa Muumba Wako usitoe utamu bila kibali wanawake wengi mnafeli hapo.
 
kadogo2 anateswa na mapenzi 🙌🙌
Ni kweli mkuu… sasa hivi nianze kuwa na moyo mguu maana nakuwa mrahisi kumpenda mtu

Ila hapo kabla kama Mungu asingemchukua mchumba wangu basi nisingejua maumivu ya mapenzi… nilidhani kwa namna ambavyo nilimpenda huyo Kijana na yeye akanipenda basi ndio maisha huwa hivyo kwamba ukimpenda mtu nae anakupenda kumbe ni kinyume chake…. Mwanamke hapaswi kupenda kabisa ni kuigizaa tu
 
Sawa mkuu…kwenye kutotoa utamu hapo nitajitahidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…