Nimeamini ukiwa mwanamke umetulia huna mambo mengi ndio unapata wanaume wasioleweka na matapeli

Nimeamini ukiwa mwanamke umetulia huna mambo mengi ndio unapata wanaume wasioleweka na matapeli

Kipenzi olewa na anayekupenda tena yule ambaye analilia akuoe utaenjoy sanaaa,. Ukitaka ambaye wewe unampenda ndio changamoto na kuteseka kunaanziaga hapo kwasabu huna uhakika kama na yeye anakupenda the same
Daah naogopa kufanya hayo maamuzi yasije kunigharimu baadae.. maana nachanganyikiwa sijui nikubali yupi anioe wote ni vijana wazuri na wanaonesha nia
 
Basi mimi nimeamua nibadilike tu hii Roho ya kuwa mwema kwa kila mahusiano niachane nayo

Unaingia kwa mahusiano unampenda mtu kumbe yeye ana kutamani wala hana upendo na wewe

Imagine unakuta kwenye simu ya mpenzi wako amekusave Annastazia Dodoma
Na wewe umemsave majina mazuri

Mimi huwa sina kawaidaa ya kumsave mtu jina la mahaba hata ukishika simu yangu huwezi kukuta majina yameseviwa ki romantic kama ni mpenzi wangu nitakusave majina ya wazazi wako na kama una mtoto nitasave jina la mwanao mfano Baba D au Jeremiah Kasongo
Hata huyu mpnz wangu Nime save jina lake halisi.. sasa kuangalia kwenye simu yake yeye kanisave Kadogo2 Tabora 😨 nimeumia sana bora angenisave jina la baba angu kuliko hivyo.. hata kama tulikutana Dodoma ndio anisave hivyo

Nimeamua kuachana nae Rasmi maana nimehakikisha huyu mtu hanipendi.. miezi 4 ni mingi sna kuwa na mtu halafu anakudanganya 🥵
Ila Wanawake bwana Sasa kukusevu hivo ndo hakupendi kwa mtindo huo utachakaa Sanaa

Anyway me napita 🏃🏻‍➡️🏃🏻‍➡️🚶🏼‍➡️
 
Nikiwa natongozwa kwa mara ya kwanza niliambiwaga hivyo mkuu… maneno ya ku download google
Karibu kwenye kisima changu cha mahaba utawale upendo na himaya ya moyo wangu utawale hisia zangu wew kwangu ni malkia kadogo dogo..

Pokea hisa za upendo wangu wekeza utukufu wako kwangu na ufaidi gawio la huba kutoka kwenye himaya ya penzi langu

Wew kwangu ni asali sito kuchovya nikakumaliza nitakutunza kwangu wew ni dawa uniponye kidonda changu sito kuwa kama sungura mbivu zako kwangu zikawa mbichi... read more
 
Maneno sio Mageni hayo mkuu… tena siyasadiki mkuu…
Sasa hivi nachoamini ni ile waambie home wajiandae nakuja tarehe 5 kuleta mahari
Let's talk about this inbox pls,
There are more to discuss,
Don't share our privacy here .
 
Karibu kwenye kisima changu cha mahaba utawale upendo na himaya ya moyo wangu utawale hisia zangu wew kwangu ni malkia kadogo dogo..

Pokea hisa za upendo wangu wekeza utukufu wako kwangu na ufaidi gawio la huba kutoka kwenye himaya ya penzi langu

Wew kwangu ni asali sito kuchovya nikakumaliza nitakutunza kwangu wew ni dawa uniponye kidonda changu sito kuwa kama sungura mbivu zako kwangu zikawa mbichi... read more
Hizo ngonjera labda ujaribu kwa la 4 B mkuu
 
Back
Top Bottom