ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Mungu ni mwema.Hapana cute,ila nimepambana na ingine alinijazia bantu...nikatoboa.
Thanks for your concern
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu ni mwema.Hapana cute,ila nimepambana na ingine alinijazia bantu...nikatoboa.
Thanks for your concern
Mengi tuUshawahi kua na mahusiano mangap bila kugawa uroda??
Amina mom🙏Mungu ni mwema.
Sawa sijakata ndio tulipoonana mbona mimi nimemsave jina lake halisi si na yeye angesave jina langu aongeze na la ukoo wanguKama umetokea tabora au mlikutana Tabora chukulia kawaida. Mtu amesave mke wake "dada wa muhimbili" sababu walikutana hapo muhimbili miaka na miaka mpaka mke anakuja kushtuka na kumuuliza ndo na yeye anashangaa anabadilisha.
We nae Mimi hiyo mada sijaanzisha nimejibu swali lilivyoulizwaKwahyo kumbe point yako ni kustareheshwa..!??
Hebu nyosha maelezo niangalie jinsi ya kukusaidia.
Kwaiyo ukiolewa unapumzika mkuuJamani Oeni huyu mtu tupumzishwe
Okay 👍🏾We nae Mimi hiyo mada sijaanzisha nimejibu swali lilivyoulizwa
Sijui mkuuWewe ndio kadogoo mpenda vitombo??
Sawa mkuuNjoo kwangu mimi nitakusave majina ya kikorea sito ku save anna minyege
Pole sana mrembo,,I advise you to come to my inbox for the further talks,,Basi mimi nimeamua nibadilike tu hii Roho ya kuwa mwema kwa kila mahusiano niachane nayo
Unaingia kwa mahusiano unampenda mtu kumbe yeye ana kutamani wala hana upendo na wewe
Imagine unakuta kwenye simu ya mpenzi wako amekusave Annastazia Dodoma
Na wewe umemsave majina mazuri
Mimi huwa sina kawaidaa ya kumsave mtu jina la mahaba hata ukishika simu yangu huwezi kukuta majina yameseviwa ki romantic kama ni mpenzi wangu nitakusave majina ya wazazi wako na kama una mtoto nitasave jina la mwanao mfano Baba D au Jeremiah Kasongo
Hata huyu mpnz wangu Nime save jina lake halisi.. sasa kuangalia kwenye simu yake yeye kanisave Kadogo2 Tabora 😨 nimeumia sana bora angenisave jina la baba angu kuliko hivyo.. hata kama tulikutana Dodoma ndio anisave hivyo
Nimeamua kuachana nae Rasmi maana nimehakikisha huyu mtu hanipendi.. miezi 4 ni mingi sna kuwa na mtu halafu anakudanganya 🥵
Nitachoka nikifaa mkuuKila siku unakuja na jipya huchokagi na hayo mapenzi
Hayo maneno siyo mageni hata yeye alinambia hivyo mwanzoPole sana mrembo,,I advise you to come to my inbox for the further talks,,you won't regret tht I promise you..
You won't regret tht,,I promise you.
Kama saizi ungekuwa ushachoshwa na cha asubuhi uko unahangaikia supu,. Nguvu ya kuandika andika inatoka wapi😝😃Kwaiyo ukiolewa unapumzika mkuu
Weeee, wa walisemaga hawa ndio haohao wa mtaani lakin😬Achana nae siolewi na wanaume wa jf
Sifahamu hayo unayosema mkuuKumbe we ni mwanaume,acha kujifanya binti basi