Nimeamini ukiwa mwanamke umetulia huna mambo mengi ndio unapata wanaume wasioleweka na matapeli

Nimeamini ukiwa mwanamke umetulia huna mambo mengi ndio unapata wanaume wasioleweka na matapeli

Kama saizi ungekuwa ushachoshwa na cha asubuhi uko unahangaikia supu,. Nguvu ya kuandika andika inatoka wapi😝😃
Kama mahusiano yanachosha hivi hizo ndoa si balaa
 
Basi mimi nimeamua nibadilike tu hii Roho ya kuwa mwema kwa kila mahusiano niachane nayo

Unaingia kwa mahusiano unampenda mtu kumbe yeye ana kutamani wala hana upendo na wewe

Imagine unakuta kwenye simu ya mpenzi wako amekusave Annastazia Dodoma
Na wewe umemsave majina mazuri

Mimi huwa sina kawaidaa ya kumsave mtu jina la mahaba hata ukishika simu yangu huwezi kukuta majina yameseviwa ki romantic kama ni mpenzi wangu nitakusave majina ya wazazi wako na kama una mtoto nitasave jina la mwanao mfano Baba D au Jeremiah Kasongo
Hata huyu mpnz wangu Nime save jina lake halisi.. sasa kuangalia kwenye simu yake yeye kanisave Kadogo2 Tabora 😨 nimeumia sana bora angenisave jina la baba angu kuliko hivyo.. hata kama tulikutana Dodoma ndio anisave hivyo

Nimeamua kuachana nae Rasmi maana nimehakikisha huyu mtu hanipendi.. miezi 4 ni mingi sna kuwa na mtu halafu anakudanganya 🥵
Mie nitakusave Kadogo2 Ubungo..🙂🙂
 
Sawa mkuu
Unanikosha roho ulivyo kembamba kadogo dogo... moyo wangu mwili akili na maini vyote vimezama kwako hauwezi amini sili silali kwa ajili yako.. nikinywa maji nakuona kwenye Glass umenifanya kipofu sioni yoyote wakukufikia uzuri wako.... read more
 
Wakuoa wapo ila moyo unagomaa
Kipenzi olewa na anayekupenda tena yule ambaye analilia akuoe utaenjoy sanaaa,. Ukitaka ambaye wewe unampenda ndio changamoto na kuteseka kunaanziaga hapo kwasabu huna uhakika kama na yeye anakupenda the same
 
Unanikosha roho ulivyo kembamba kadogo dogo... moyo wangu mwili akili na maini vyote vimezama kwako hauwezi amini sili silali kwa ajili yako.. nikinywa maji nakuona kwenye Glass umenifanya kipofu sioni yoyote wakukufikia uzuri wako.... read more
Nikiwa natongozwa kwa mara ya kwanza niliambiwaga hivyo mkuu… maneno ya ku download google
 
Najua ila ni afadhari mkawa hamjafahamiana humu.. inaleta insecurity sana kuwa na mahusiano na mtu mmekutana jf
Watu wamekutana humu na wanandoa kabisa,. Sema chamsingi useme na moyo wako mahusiano yanaanzia popote pale
 
He might said that but he never meant that.

I will make you my queen,,and I will your king ever.

Plz come to my inbox,,
Maneno sio Mageni hayo mkuu… tena siyasadiki mkuu…
Sasa hivi nachoamini ni ile waambie home wajiandae nakuja tarehe 5 kuleta mahari
 
Back
Top Bottom