Nimeamini ukiwa mwanamke umetulia huna mambo mengi ndio unapata wanaume wasioleweka na matapeli

Nimeamini ukiwa mwanamke umetulia huna mambo mengi ndio unapata wanaume wasioleweka na matapeli

Kama umetokea tabora au mlikutana Tabora chukulia kawaida. Mtu amesave mke wake "dada wa muhimbili" sababu walikutana hapo muhimbili miaka na miaka mpaka mke anakuja kushtuka na kumuuliza ndo na yeye anashangaa anabadilisha.
 
Hakuna pa kumkimbilia mkuu,kitakulamba tu 🤒
Ajue wote sisi tunapelekeshwa putaa wote tumo bus moja sasa ndo nn kila sikuu moyooo moyooo, TUSHAKUSIKIA tunajua unatendwa kila kukicha alaa mbona yetu walume ndago tumekauka tuu
 
Basi mimi nimeamua nibadilike tu hii Roho ya kuwa mwema kwa kila mahusiano niachane nayo

Unaingia kwa mahusiano unampenda mtu kumbe yeye ana kutamani wala hana upendo na wewe

Imagine unakuta kwenye simu ya mpenzi wako amekusave Annastazia Dodoma
Na wewe umemsave majina mazuri

Mimi huwa sina kawaidaa ya kumsave mtu jina la mahaba hata ukishika simu yangu huwezi kukuta majina yameseviwa ki romantic kama ni mpenzi wangu nitakusave majina ya wazazi wako na kama una mtoto nitasave jina la mwanao mfano Baba D au Jeremiah Kasongo
Hata huyu mpnz wangu Nime save jina lake halisi.. sasa kuangalia kwenye simu yake yeye kanisave Kadogo2 Tabora 😨 nimeumia sana bora angenisave jina la baba angu kuliko hivyo.. hata kama tulikutana Dodoma ndio anisave hivyo

Nimeamua kuachana nae Rasmi maana nimehakikisha huyu mtu hanipendi.. miezi 4 ni mingi sna kuwa na mtu halafu anakudanganya 🥵
Pole yako
 
Mungu anakupa wa kufanana na wewe. Kama hujatulia huwezi pata aliyetulia Never
 
Back
Top Bottom