Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Achana na umri wangu mkuu… maelezo yanajitosheleza sidhani kama kuna mtoto mdogo anaweza kunyoosha maelezo hiviMkuu umri wako tafadhali
Na kwenye Ibada je? Hapo pa motoSawa mkuu…kwenye kutotoa utamu hapo nitajitahidi
sawa mkuu but u must change uishi kikubwaAchana na umri wangu mkuu… maelezo yanajitosheleza sidhani kama kuna mtoto mdogo anaweza kunyoosha maelezo hivi
ANauliza ili afahamu weww ni malaya wa ge Z au malaya mkongwe!!Achana na umri wangu mkuu… maelezo yanajitosheleza sidhani kama kuna mtoto mdogo anaweza kunyoosha maelezo hivi
Hiyo siyo vizuri mkuu… kama mtu mnakulana nae yapaswa usave majina yake halisi.. mimi nimeona nimesaviwa hivyo nimejisikia vibaya ni kama anao wengi anawakula hivyo anawasave hivyo ili awakumbuke kihurahisi…Pole sana anastansia dodoma, hapa umenisema mimi kabisa. Huwa nasevu hivyo ili nisisahau
ROSE KIMARA
AGNESS MUFINDI
AMINA KONDOA
HELLEN USHETU 😂
Malaya wa baba ake fanton mahalANauliza ili afahamu weww ni malaya wa ge Z au malaya mkongwe!!
Ni yangu bro kwani umeikatia Bima mpk uionee hurumaSafar ya umalaya ndio ishachanganya hivyo.
Kuja kushtuka unakuta milage inasoma wanaume 50++
Nitajitahidisawa mkuu but u must change uishi kikubwa
Kwahyo mpaka yanoge?Hiyo siyo vizuri mkuu… kama mtu mnakulana nae yapaswa usave majina yake halisi.. mimi nimeona nimesaviwa hivyo nimejisikia vibaya ni kama anao wengi anawakula hivyo anawasave hivyo ili awakumbuke kihurahisi…
Najua mtu kama hana umuhimu kwako ndio utamsave hivyo hata mimi ex wangu nilishawahi kumsave jina lake na kazi yake ili nimkumbuke ila mapenzi yaliponoga nilibadilisha namna nilivyomsave nikasave baba D jina la mwanae
Hapo ndio pagumu mkuu… sijui mapepo yaliniingia nimekuwa mvivu kufanya ibada sikumbuki hata last time nilienda lini churchNa kwenye Ibada je? Hapo pa moto
Asikudanganye eti usiwe mwema kuwa mwema nazuia maumivu na njia nzuri ni kitompa nafasi ya kuiona chupi Yako, hivyo akikuacha huna Cha kujutia sababu hajapata kitu na umejua alikuwa mpita njia, unaendelea na safar na watakuja watu, mamilioni hayapatwi hayamilikiwi siku Moja ni mchakato wa mda ndio utatengeneza njia zake endelea kutulia. Njia ni Moja tu, kufuli la chuma.Nimegundua hili
Ni kwakuwa sikudhani kama tungekuwa seriously nilimchukulia poa tu kumbe ni mtu ambae alikuwa akinipenda ukwelKwahyo mpaka yanoge?
Haya sawa kabisaAsikudanganye eti usiwe mwema kuwa mwema nazuia maumivu na njia nzuri ni kitompa nafasi ya kuiona chupi Yako, hivyo akikuacha huna Cha kujutia sababu hajapata kitu na umejua alikuwa mpita njia, unaendelea na safar na watakuja watu, mamilioni hayapatwi hayamilikiwi siku Moja ni mchakato wa mda ndio utatengeneza njia zake endelea kutulia. Njia ni Moja tu, kufuli la chuma.
Na hata ukimpata wa church naye haonjeshwi vilevile hana ruhusa hiyo mpaka apate funguo na asivunje mlango, utakuja niambiaHapo ndio pagumu mkuu… sijui mapepo yaliniingia nimekuwa mvivu kufanya ibada sikumbuki hata last time nilienda lini church
Ila this week nabadilika
Hao ndio nawaogopa kuliko wanaume wa mtaaniNa hata ukimpata wa church naye haonjeshwi vilevile hana ruhusa hiyo mpaka apate funguo na asivunje mlango, utakuja niambia
Huoni unatuchosha. Alaf hutaki mwanaume wa JFMimi Huwa siongei ndugu hata kama nione hapo umenicheat siulizi zaidi nitakuja kuanzisha uzi jf
Soma huu ujumbe vzr utamini ninachokwambia, usione mda unaenda Bali kataa kuongezea idadi ya waliokupanda ukistuka wamefika mia vigezo na mashart Yako vibovuSafar ya umalaya ndio ishachanganya hivyo.
Kuja kushtuka unakuta milage inasoma wanaume 50++
Alikupenda kweli na ana mke na familia?Ni kwakuwa sikudhani kama tungekuwa seriously nilimchukulia poa tu kumbe ni mtu ambae alikuwa akinipenda ukwel