Nimeamua kuachana na masuala ya dini, sihitaji kero za ajabu

Pamoja Sana mkuu
 
Hapo itakuwa umepunguza kiwango cha upumbavu kwa asilimia kubwa sana
 
Nadhani ulikosa mwalimu sahihi.
Dini haina shida shida ni wewe uliipokea kwenye mtazamo negative
 
Wengine sisi tunafungua codes kupitia vitabu vya dini tunazijua siri za dunia tunayaona maisha kwenye mwanga bora
 
Kuna wanao sema yesu ni Mungu, vipi alipo kufa msalabani dunia ili baki na nani?.

kwanini aseme baba iki kupendeza niokoe na kikombe hiki?, ko ali kuwa ana jikejeli?
Kwani mchawi anapoondoka kwenda kuwanga anaondoka na mwili wake si anauacha kitandani umelala ukipumua na kukoroma huku yeye kitambo yupo USA anashiriki vikao
 
Bible na Quran tunaziita ni coded books za kufungua mlango wa sita wa fahamu na kufungua siri zilizojifichwa duniani.
Ukivisoma kama gazzet utaishia level ya kufukuza mapepo tu usijue kuitumia hazina iliyomo ndani ya vitabu hivyo matatizo yakukimbie ule kuku kwa mrija.
 
Biblia ndio kitabu kinachotumika kila sehemu kwa sababu kimebeba funguo za maisha thus utumika makanisani, msikitini, kwenye loji za freemason,kwa waganguzi kwenye Sheria za nchi nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…