Nimeamua kuachana na masuala ya dini, sihitaji kero za ajabu

Kuna wanao sema yesu ni Mungu, vipi alipo kufa msalabani dunia ili baki na nani?.

kwanini aseme baba iki kupendeza niokoe na kikombe hiki?, ko ali kuwa ana jikejeli?
Huna maalifa yoyote na maandiko ya MUNGU. Haya maswali ni ya mtu wa elimu chini ya chekechea kabisaaaa.
 
Wewe ni sawa na wale wanaojiita wachokonozi.
Mwanzo nilidhani wale jamaa ni atheists, kumbe bna na wao wana imani yao aisee.

Ukiona na wewe unaamini kwenye supernatural powers, huioni nguvu hiyo ikitendeka basi na wewe ni walewale kasoro majina tu.

Assalam Alaykum....
Tumsifu Yesu Kristo....
Mwanakondoo ameshinda...
 
Duh! The last time I stepped my feet to church ilikuwa ni mwaka 2013. Baada ya hapo ilikuwa bai bai.
 
Ila najua most of them don't, growing up nlikuwa na a white boy baba Jew mama Persian from Tehran aloooh wale watu wako na principles tofauti kabisa za maisha, aisee acha kabisa,
Yeah ni kawaida kua hivo, wengine wanakubali wengine wanakataa. Labda tungeuliza wadau kuna watu wawiki humu jf nakumbuka kua washasema waliwahi kuconvert to judaism.

Hili jambo la conversion, kuna professa mmoja wa historia (mmarekani)- Roy Cassandra, anasema mgogoro wa israel na palestine walio na asili kubwa ya kiyahudi (wamechukua imani za ukristo na uislam) wanauliwa na wenye asili ndogo ya kiyahudi (wamechukua imani ya kiyahudi sasa hawa). Yeye anaiita plot twist ya ajabu


View: https://youtu.be/L4IlDIGoLoM?si=qPmXhtWGyXx095Q1
Na juzi kazi mitandao ya kijamii ilikumbwa na huzuni mzee mmoja wa kipalestina alivouwawa na askari wa kiyahudi katika checkpoint. Taarifa zinasema huyu mzee alibadili dini kumuenzi mzee wake, lakini katika checkpoint hapa. (Tukio hili sjafatilia in deep)


View: https://youtube.com/shorts/8p93nrY9SlA?si=6X7_eYzXAz9Ssue_
Huyu mzee David ben Avraham kwa kubadili kwake dini kutoka uislam kwenda judaism huko west bank, waislamu wanamuona jau, halikadhalika wayahudi wanamuona jau.
Na hata hilo clip ya juu hapo maana ndo alikula shaba na kufariki siku hiyo wengi wanasema "a palestinian was at wrong place"
 
Achana na dini zimejaa wendawazimu mtafute Muumba.
 
Tofauti ya elimu na dini, elimu ina facts and some evidence supports. Dini one the otherside doesnt, ina require pure imani

Siasa nayo imefanana na dini kwa mbalii ila tofauti facts zake zinafichwa, ili wanasiasa wafaidi

Utaamua utafuata kipi, vyote havipo sawa
 
Jitahidi.
Hivyo hata wazazi wako wakatae, si nao ulijikuta tu upo nao?
 

Dini mfano UISLAMU haitaki watu wazembe na wavivu wa kusoma.

Mfano ulicho andika hakina maana sababu huwezi kumjua Mungu na kumuamini sawa nje ya mafundisho yake. Yaani huwezi kumuabudu nje ya mafundisho yake, kinyume chake ni uongo na hujui unachokiegemea. Mungu hapendi watu wapumbavu na wazembe.

Tumepewa akili ili unitumie vyema na usikosee katika kufikiri. Matokeo ya ulichokiandika hapa ni kutoitumia akili vizuri na kutojifunza.

Kutokuielewa dini ni uzembe wako bali kutokuijua dini ipi ya kweli kadhalika ni matokeo ya uzembe na uvivu wa kutokuitumia akili yako vizuri. Lazima utawajibika kwa hili, na ujue kabisa hauko salama.
 
Hongera sana! Umekuwa binadamu kamili.

Binadamu lazima uwe rational. Moja ya kitu watu wengi wenye imani wanapishana nacho ni Logic.

Inaonekana huijui Logic. Hakuna watu WAJINGA na wavivu kufikiri kama wanao amini katika Logic.

Siku ukitumia akili na ukajua Logic ni nini, imeanzia wapi, misingi yake ni ipi, utanikuta una uwanja mfinyu sana wa kufikiri sababu unakuwa unafikiri ndani ya misingi ya wale ambao wameasisi kitu kinachoitwa Logic, hapa utamkuta Aristotle.

Logic I a ukomo, sababu msingi wa Logic ni akili pekee. Hapa lazima ukosee tu.

Hapa nitakuuliza, unafikiaje hitimisho sahihi kwa kutumia logic ? Hapa ndipo utaona ujinga wenu. Utasikia tu hiki hakiingii akilini, muda huo unashindwa kuonyesha ni kivipi na kwa lipi. Huu ni wendawazimu wa kujitakia.
 

Vijana mna matatizo sana. Wangapia wanazaliwa katika Imani fulani, na kwa sababu wanazozijua Wana acha Imani zao ? Nani alikulazimisha wewe uwe katika Imani fulani muda huo huo umepewa uhuru kamili. Hivi huwa mnafikiria kwa kutumia nini ?

Wewe umepewa akili ya kuhoji na kufikiri, kwanini usifikiri ? Mbona kwenye mambo mengine unafikiria iweje kwenye dini ushikiwe akili ? Halafu muda huo huo mnajinasibi na logic. Acheni ujinga vijana, dini inataka watu makini sana, hapa naikusudia dini ya UISLAMU, dini ambayo ni ya mitume na manabii wote.

Mimi nakupa miaka mikumi, uje kuthibitisha ya kuwa hii Qur'an, wazungu walikaa wakaisuka vizuri. Msifikiri kila mtu ni mjinga kama mlivyo nyinyi, ambao kwenu nyinyi kuandika msiyo yajua ni jambo jepesi sana kuliko kupepesa macho.
 
Watu walikuwepo kabla ya dini.
Dini ni tokeo la watu waliokuwa wanafikiria.
Ndio maana wakakuelezea jinsi motoni na peponi kutaksvyo kuwa.

Tatizo watu wameacha kufikiri na kutumia maandiko ya waliofikiri kuwa ukweli Mtakatifu

Watu gani hao walikuwepo kabla ya dini ? Mkiwa mnaandika vitu hakikisheni mnakijua, sio mnaviandika tu.

Watu wamedhibiti kila kitu. Sasa mje na hoja na shahidi, sio maneno maneno tu ya vijiweni na ya kilevi.

Maandiko yenyewe hasa Qur'an inamtaka mtu afikiri, nakuuliza watu gani wamekuwepo kabla ya dini ? Ukute hata maana ya dini huijui, hapa ndipo huwa nawaona hamna akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…