Nimeamua kuachana na masuala ya dini, sihitaji kero za ajabu

Watu walikuwepo kabla ya dini.
Dini ni tokeo la watu waliokuwa wanafikiria.
Ndio maana wakakuelezea jinsi motoni na peponi kutaksvyo kuwa.

Tatizo watu wameacha kufikiri na kutumia maandiko ya waliofikiri kuwa ukweli Mtakatifu
 
Dini ni maisha ya binadamu ,dini ni mila na utaratibu ,bila ya dini hakuna binadamu ..Unataka kusema nn?

Utaratibu wa binadamu umekuwa ukibadilika ,kwanza zamani hapakuwa na umaskini ila gap la umaskini lilianza kujitokeza baada ya Maendeleo
 
Hii hoja ya kufungulia uzi
 
Dini ni maisha ya binadamu ,dini ni mila na utaratibu ,bila ya dini hakuna binadamu ..Unataka kusema nn?

Utaratibu wa binadamu umekuwa ukibadilika ,kwanza zamani hapakuwa na umaskini ila gap la umaskini lilianza kujitokeza baada ya Maendeleo
Bila dini kuna nini?
 
Huu ni mtazamo wako na tafsiri yako , ila bila hata imani ya Mungu watu wana ishi .
Dini za Uislamu , ukristo na uyahudi wanaishi kwa utaratibu wa Mungu ...Zipo dini za watu ; mfumo wa rasta kama jamaica ile ni dini maana kuna taratibu zao.

Ndio maana nchi kama china walikuwa na dini nyingi sana ...Dini ni utaratibu uliokuwa kamili hata ayeabudu mizimu ana dini.
 
Mkuu imani na dini ni vitu viwili tofauti, imani ni ya ndani, hizo dini ni jau jau.

Yaani tuna laani ubaguzi wa mzungu, halafu sisi tuna chukiana kwa vitabu vilivyo kuja kwa mtumbwi?
Issue ni kua na religion tolerance Mbona sisi tunaisha na tuna jamiiana vizuri na waislamu.

Ukimkuta MLOKOLE RADICAL au MUSLIM RADICAL nitatizo Ila ukimkuta mtu msomi ni mwelewa Sanaa.

So hata Rastafarian nao Wana piga Bangi...Mfano WA BUDDHA nao Wana Imani yao NOT KILLING ANYTHING OR LET IT SUFFER.

Swali wewe unaamini Nini? Mpaka USEME hautaki dini.

Mfano hauamini Katika ufufuo na kuzaliwa Mara ya pili.

Kasome yohana 3:16
Yohana 5:18
 
Sina dini yoyote wala sisali popote na nina ishi vizuri tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…