Nimeamua kuachana na masuala ya dini, sihitaji kero za ajabu

Halafu sisi ni chama Cha ma jobless pro max, tuna uhuru wa kujibiana😆

Kwa hiyo hauna utaratibu wa maisha ? Hata panya ana utaratibu wake katika maisha yake ya kila siku.

Unaambia duniani kuna dini mamilion .
Dini tunayozungumzia hapa ni mfumo wa imani desturi unaelezea uhusiano wa mwanadamu na nguvu zisizoonekana kama inavyodaiwa.
 
Hizo dini ali leta nani?, Kama dini ni muhimu mbona hao walio tuletea Wana uana kila kukicha?
 
Bila ya dini binadamu hawezi kuishi ,never kabisa ...Kwa sababu dini ni utaratibu ,hakuna jamii isiyokuwa na utaratibu ,never existed!
Wabantu wengi tu kabla ya ujio wa wakoloni hawakuwa na dini hizi za nje ya Afrika.
Hawakuabudu chochote na wengine waliheshimu mizimu(mababu waliokufa) waliishi vizuri tu.
Jamii inaweza kujenga taboos, ethics, e.t.c na zikawasaidia kuishi vizuri in harmony.
 
Mkuu kwanini hiyo dini isi simamishe mauaji kwa hao walio tuletea hizo dini?.

Wali ua mababu zetu, tuka achwa na sera uki pigwa kulia geuka kushoto.
 
Dini hizi hizi ambazo viongozi wake ni wezi, wauaji na hata wanao support mambo ya ajabu ajabu?

Papa kabariki mambo ya upinde, wale wazee wa imani wame support ndoa za miaka 9 ?
 
Mambo ya ajabu sana
 
Mimi pia naamini uwepo wa Mungu na so muumini wa dini yeyote kwa Sasa.
Siibi, situkani, siuwi, sidhulumu, sisemi uongo, muaminifu Sana Sana.
Nimeacha kwenda kanisani toka 2016 au 2017 hivi.
tuko pamoja mkuu, kanisa au msikitini sikumbuki ni lini
 
Mimi pia naamini uwepo wa Mungu na siyo muumini wa dini yeyote kwa Sasa.
Siibi, situkani, siuwi, sidhulumu, sisemi uongo, muaminifu Sana Sana.
Nimeacha kwenda kanisani toka 2016 au 2017 hivi.
Wewe una dini ila mahudhurio yako ya kukutana na Wenzako kila jumapili ni hafifu au duni kabisa mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…